kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Mimi wewe ungeonekana mapipa tungejua una mapenzi na chadema na lissu lakini kwa hizi porojo zake wewe unabaki kundi la wanafiq kumdhihaki lissu kama mamluki wengine tu!Wauaji wanatabia ya kuongea yasiyoeleweka maana roho za marehemu huwa zinawasumbua. Bado utaweweseka sana.
Beba mabegi tufuatane kigagula ajuza mkubwa!Utakwenda kwa style mbaya kweli☹️
Kama kusingekuwa na kifo, yaani watu wangekuwa na uhakika wa kuishi milele dah sijui tungedhulumiana na kutesana kwa kiasi gani,kumbuka mikiki mikiki hii yote hakuna atakayefika 2090 wote tutakuwa udongoMbona hukuonekana magomeni mapipa kama unampenda!
Ungeandamana ungekuwa na haki ya kuji-proud unampenda lissu!Kama kusingekuwa na kifo, yaani watu wangekuwa na uhakika wa kuishi milele dah sijui tungedhulumiana na kutesana kwa kiasi gani,kumbuka mikiki mikiki hii yote hakuna atakayefika 2090 wote tutakuwa udongo
Sasa kwa nini umdhurumu ndugu yako?
Mimi natanguliza kwanza haki, halafu nampenda anayependa haki, simpenda anayedhurumu haki za WengineUngeandamana ungekuwa na haki ya kuji-proud unampenda lissu!
Bado ana weweseka!
Ukiona mtu kama yule anaangaika na dini jiulize mara 2,Kama ni kweli Makonda kujifanya mtu wa dini ni dhihaka sana!
Ukiona Makonda kimyaaaa, jua anaogopa kuumbuka.Huyu Lissu sio wakumuamini,mwanzo alisema magufuli Leo kasema Comred Makonda,huenda huyu jamaa kachanganyikiwa
Ulitaka dunia hilo jambo ilifumbie macho.Kumlaum TL ni uelewa finyu.tundu
aache mboyoyo
amshukuru mungu
na aishi maisha yake
Sasa tangu azuiwe kumempunguzia nini kwenye maisha yake!Kwani uongo Paul Makonda amezuiwa kwenda Marekani? alikuwa anaenda kama anaenda Mlimani City. Kwa rafiki yake Richard, AKA Richie. DJ, ingawa siku hizi naye kimya sana
Mnafiki utabaki mnafiki na muoga!Mimi natanguliza kwanza haki, halafu nampenda anayependa haki, simpenda anayedhurumu haki za Wengine
Wewe sitayari unajua kuwa ni ufisadi tuwekee basi habari kamili.Kitu anacho ficha lissu ni kwanini alitaka kuuliwa alikuwa amefanya nini ? Ukweli ni kwamba Lissu anajua ukweli wote kwanini alitakiwa kuuliwa alifanya ufisadi gani kwa kutumiwa na mafisadi wanaojifanya wawekezaji kwenye rasilimali zetu
Tulia wewe, your boy Bashite about to get caught in the squeeze real soon, na atatapishwa mpaka nyongo na sponsor hana protection yeyoteBado ana weweseka!
soon utajua tuu uchawa wako ni zaidi ya ujinga na hasara Kwa familia yakoHuu ujinga ni wa kiwango cha lami, kumtuhumu mtu bila ushahidi ni pumba iliyoje
Sijui kwanini Sativa alipelekwa Arusha.Kumbuka ile ishu ya clouds fm kwenda na polisi wenye siraha za moto.Lisu kupigwa risasi..sativa kupelekwa Arusha...CONNECTED BASHITE
Lissu hajakosea.
Kwa Ulaya huko hakuna Mahakama ya Kuhonga.Tulia wewe, your boy Bashite about to get caught in the squeeze real soon, na atatapishwa mpaka nyongo na sponsor hana protection yeyote
Ya maandamano ongelea wewe.....yeye anaongelea yanayomhusu na maisha yake.Huyu mzee anazeeka vibaya sasa mbona alishasema several times!! Mimi nilitegemea aongelee maandamano yao ya Jumatatu yaliyofeli.
Hahaha ha hahaha wewe bora ukae kimya tuuSasa tangu azuiwe kumempunguzia nini kwenye maisha yake!