Tundu Lissu: Aliyeongoza Kikosi cha wauaji walioagizwa kuniua ni Paul Makonda, ndio maana Marekani ilimzuia

Tundu Lissu: Aliyeongoza Kikosi cha wauaji walioagizwa kuniua ni Paul Makonda, ndio maana Marekani ilimzuia

Mnafiki wewe unajifaragua wakati ndio wachawi wa lissu kima nyote kima tu mbona hatukukuona mapipa kama unaumia kweli!
 
Wauaji wanatabia ya kuongea yasiyoeleweka maana roho za marehemu huwa zinawasumbua. Bado utaweweseka sana.
Mimi wewe ungeonekana mapipa tungejua una mapenzi na chadema na lissu lakini kwa hizi porojo zake wewe unabaki kundi la wanafiq kumdhihaki lissu kama mamluki wengine tu!
 
Mbona hukuonekana magomeni mapipa kama unampenda!
Kama kusingekuwa na kifo, yaani watu wangekuwa na uhakika wa kuishi milele dah sijui tungedhulumiana na kutesana kwa kiasi gani,kumbuka mikiki mikiki hii yote hakuna atakayefika 2090 wote tutakuwa udongo
Sasa kwa nini umdhurumu ndugu yako?
 
Ungeandamana ungekuwa na haki ya kuji-proud unampenda lissu!
 
Kuna kiongozi ametajwa Leo tena na Lissu na serikali ya Marekani ilimpiga marufuku kukanyaga Marekani kwa kusema ananyang'anya watu haki ya kuishi.
Waambie Marekani watoe ushahidi ni wazi wanao na wanasubiri wakati sahihi ufike.
Sidhani kama Marekani hawajui haya mambo yalitokea vipi Ila tu watavujisha kwa wakati wao na namna yake mambo tutakuta tu yapo hadharani.
Huenda hata ushahidi wa CCTV uliosemwa wanao pia.

Serikali iitishe uchunguzi huru kumiza hili.
 
Kitu anacho ficha lissu ni kwanini alitaka kuuliwa alikuwa amefanya nini ? Ukweli ni kwamba Lissu anajua ukweli wote kwanini alitakiwa kuuliwa alifanya ufisadi gani kwa kutumiwa na mafisadi wanaojifanya wawekezaji kwenye rasilimali zetu
Wewe sitayari unajua kuwa ni ufisadi tuwekee basi habari kamili.
 
Back
Top Bottom