Tundu Lissu: Aliyeongoza Kikosi cha wauaji walioagizwa kuniua ni Paul Makonda, ndio maana Marekani ilimzuia

Muda ukifika ya sirini huwekwa bayana katika hali ya kushangaza.... Soon na baada ya hili tutajua tu, kifo cha John Pombe Magufuli pamoja na kugubikwa na utata...Tuombe uhai.
Lying is just taking advantage of present time(s), circumstances and situation to hide the truth.. But at the same time, it is putting yourself at risk, particularly in the days ahead; when those times, circumstances and situation have changed or no longer exist.
 
Junya kabisa wewe.

Huyo Mungu wako angekuwa fundi sana wala asingeruhusu Lisu apigwe marisasi yote hayo na kupewa kilema cha maisha.

Huyo Mungu wako atakuwa ni fundi Juma tu.
 
Kutajwa hata yoyote anaweza kutaja

Walete ushahidi wenyewe kabisaaaa tu uone , ni hawana ndio maana mpaka sasa bila kumtaja Makonda hawapati airtime..

Ya maandamano yameeashindwa hata uongozi wenyewe hawapo vizuri.. Basi wamtaje wapindishe njia..

Makonda ana 🌟🌟🌟💫💫💫
 
Issue kama hizo zinahitaji ushahid usio shaka not otherwise.
Ukiweka uchawa na unafiki pembeni, utakubaliana na hoja kwamba Paul Makonda hana sifa nzuri hata moja ya yeye kuweza kuteuliwa katika nafasi ya Uongozi katika nchi hii. Mtu huyu habebeki hata kwa mbeleko ya chuma.
 
Ingekuwa Kenya angewataja, lakini Tanzania ni bure labisa, akiwataja myawafanya nini? Makonda huyo hapo anajukikana kabla hata hajamtaja leo lakini kila siku mnamfungulia nyuzi za kumsifu na kumuabudu, imefika mahala mnatamani eti awe rais wenu!!
Kenya ambapo Rais wao aloshinda kesi ICC kwa kuuwa mashahidi wote haiwezi kuwa mfano mzuri.
 
It is true.
Kwa kawaida Vyama vya Siasa ambavyo vimekaa madarakani kwa muda mrefu Sana huwa vina kawaida ya kuunda magenge ya Watu wahalifu, watekaji au wauaji kwa lengo la kuvilinda vyama husika visiweze kuondolewa madarakani baada ya kupoteza ushawishi au baada ya kupoteza mvuto kwa wananchi. Magenge hayo ya uhalifu yanayoundwa kazi yake kubwa zaidi ni kuendesha Propaganda za Vitisho dhidi ya Watu wanaojaribu kuhoji watawala au wale Watu wanaokosoa watawala.
 
Yaani wewe unaamini kabisa Maneno ya Lisu yamfanye Samia kumwondoa Makonda ukuu wa Mkoa?
Lisu alishaongea juu ya Makonda zaidi ya mara tatu huko nyuma kwa hiyo hamna jipya
 
Hivi kwa akili zako marekani walimzuia makonda kukanyaga huko kwao hawana akili.. kuanzia tekinolojia hii wao ndio wavumbuzi ...wanajua kilakitu na picha na sauti za ushahidi zipo.
Wewe jidanganye Makonda yupo na ataendelea kuwepo na mwakani sio ten Mkuu wa mkoa ni mkubwa zaidi ya alipo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…