BLACKTIGER
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 1,568
- 1,923
Huyo Bashite tangu arudi kwenye system tena kutekwa na mauaji yakaanza upya refer
Sativa kupelekwat Arusha..
Sativa kupelekwat Arusha..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Enhee! Umesema ukweli kabisa!Huyo Bashite tangu arudi kwenye system tena kutekwa na mauaji yakaanza upya refer
Sativa kupelekwat Arusha..
Kwa swali kama hili inaonyesha wewe ujui ufisadi wa kibeberu ...kwanza aliye kuambia mafisadi ya kibeberu yanashitakiwa nchini ni nani ? Kesi ya mtoto wa chui kuipeleka kwa mama chui tena mwenye njaa.Kwa huo ufisadi aliofanya na hao wawekezaji asingefunguliwa mashtaka mahakamani na serikali ili makosa yake yathibitike kisheria badala ya kuuawa?
Lissu ni mwanasheria makini hakurupuki. Ukitaka kuamini hilo subiri uone kama kuna atakayejitokeza kumshtaki.Huu ujinga ni wa kiwango cha lami, kumtuhumu mtu bila ushahidi ni pumba iliyoje
Mbona yeye anashindwa kumshitaki Makonda!?Lissu ni mwanasheria makini hakurupuki. Ukitaka kuamini hilo subiri uone kama kuna atakayejitokeza kumshtaki.
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara Tundu Lissu amezungumza hayo mbele ya wanahabari leo, Jumatano Septemba 25.2024, jijini Dar es Salaam
Kiongozi wa kikosi cha mauaji dhidi yangu mwaka 2017 alikuwa Paul Makonda. Aliwaongoza wauwaji walionipigia risasi 36 Dodoma.” - Tundu Lissu
View attachment 3106495
"Shambulio dhidi yangu (shambulio la Tundu Lissu kupigwa risasi) limetokea katikati ya majengo ya serikali wanayokaa Mawaziri, Naibu Spika Tulika akson kwa wakati ule (sasa ni Spika wa Bunge), Waziri Harrison Mwakyembe (aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo), Waziri wa Nishati wa wakati ule yeye alikuwa anakaaa juu na mimi nilikuwa nakaa chini" -Lissu
Pia soma:
- Kupigwa risasi kwa Tundu Lissu: Kampuni ya simu ya Tigo yadaiwa ilivujisha mawasiliano yake kwa mamlaka
"Katika majenho ambayo yana ulinzi na yanakaa wakubwa (viongozi wa juu/waandamizi) eneo hilo lilikuwa sio tu lina ulinzi masaa 24 bali lilikuwa vilevile na kamera za CCTV, na kama mtakumbuka baada ya shamhulio hilo aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma alikuwa anaitwa 'Mroto' alitangaza kuwa Polisi walikua wamepata ile picha za hiyo CCTV kamera iliyokuwa inatazama ile parking lot ambayo nilikuwa nimeshambuliwa" -Lissu
PIA SOMA
- DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali
View attachment 3106568
Hahaha......hakuna aliyewahi kuinia mdomo juu ya LissuLissu ni mwanasheria makini hakurupuki. Ukitaka kuamini hilo subiri uone kama kuna atakayejitokeza kumshtaki.
Kumbuka ile ishu ya clouds fm kwenda na polisi wenye siraha za moto.Lisu kupigwa risasi..sativa kupelekwa Arusha...CONNECTED BASHITEEnhee! Umesema ukweli kabisa!
Imekuchosha wewe, pia kazi ya kuleta maendeleo ni ya serikali yako inayokusanya kodi.Kwa hiyo tumsaidie nini?
Hii story ishatuchosha inabidi aambiwe watanzania do not care atafute ajenda ya namna gani ataleta maendeleo
Kawaambia serikali ilete wachunguzi huru imekataa sasa wewe unasema nini.Chadema akili hamna kama wewe unaweza kubishana hata na lissu pale atakapo sema ukweli ? Mbona lissu anajipendekeza kutaka kwenda kwenye kaburi la jpm kuhiji ....ulishajiuliza way? Lissu anaujua ukweli wote juu ya kupigwa kwake risasi.
Una roho ngumuu.Bado ana weweseka!
Anataka kumfunika marehemu kibao?Moja ya maneno yaliyonishutua ni Lissu kusema vijana wawili waliomshambulia kwa risasi wanawajua na watawataja.
Kingine ni pale aliposema siku ile anashambuliwa Makonda alikuwa Afican Dreams(kama sikose hii ni hoteli iliyoko Dodoma).
Mungu fundi sana.
Awataje kwa majina hao Watu waliompiga risasi ili tuwajue, asifiche utambulisho wao.Moja ya maneno yaliyonishutua ni Lissu kusema vijana wawili waliomshambulia kwa risasi wanawajua na watawataja.
Kingine ni pale aliposema siku ile anashambuliwa Makonda alikuwa Afican Dreams(kama sikose hii ni hoteli iliyoko Dodoma).
Mungu fundi sana.