Tundu Lissu: Aliyeongoza Kikosi cha wauaji walioagizwa kuniua ni Paul Makonda, ndio maana Marekani ilimzuia

Tundu Lissu: Aliyeongoza Kikosi cha wauaji walioagizwa kuniua ni Paul Makonda, ndio maana Marekani ilimzuia

Huu ujinga ni wa kiwango cha lami, kumtuhumu mtu bila ushahidi ni pumba iliyoje
Serekali yenyewe inavuja..Lissu anapata taarifa nyingi na sahihi toka serekali. Yupo sahihi. Hata RomaMkatoliki anamtuhumu Konda boy kwa kumteka...anasema Aliyemteka roma ndio aliyevamia Mawingu...
Sasa kwa akili yako ni nani alivamia kituo cha redio clouds fm?
Ni huyu huyu bashite. Sema tu viongozi wakuu haswa Rais wanatuona sisi hatuna akili.
Makonda, na Ole Sabaya ni watu wakuishi ndani ya magereza... ni wauwahi na ni wahalifu wanaotu. Vyeo vtao kufanyia uhalifu.
 
Kwani amekuomba msaada? Alafu maendeleo mkaiombe CCM na mama yenu. Unataka lissu ukuelezee atakavyokuletea maendeleo wakati huna akili utaelewaje sasa
Yeye ashapigwa shaba na mabandidu akae atulie ndio ashakula shaba na pale alipo hata jogoo hasimami tena kama hujui sasa atulie tu anaongea sana
 
Waovu wengi huwa wanajificha kwenye dini ili kuhadaa watu kuwa wao ni watu wema. Mfano dhalimu magu alikuwa anajifanya mtu mnyoofu sana akiingia kanisani ili kuhadaa watu kuwa ni mcha Mungu.
Mnyika kajifungia kanisani nae ni mmoja wa madhwalimu!
 


Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara Tundu Lissu amezungumza hayo mbele ya wanahabari leo, Jumatano Septemba 25.2024, jijini Dar es Salaam

Kiongozi wa kikosi cha mauaji dhidi yangu mwaka 2017 alikuwa Paul Makonda. Aliwaongoza wauwaji walionipigia risasi 36 Dodoma.” - Tundu Lissu

"Shambulio dhidi yangu (shambulio la Tundu Lissu kupigwa risasi) limetokea katikati ya majengo ya serikali wanayokaa Mawaziri, Naibu Spika Tulika akson kwa wakati ule (sasa ni Spika wa Bunge), Waziri Harrison Mwakyembe (aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo), Waziri wa Nishati wa wakati ule yeye alikuwa anakaaa juu na mimi nilikuwa nakaa chini" -Lissu

Pia soma: Kupigwa risasi kwa Tundu Lissu: Kampuni ya simu ya Tigo yadaiwa ilivujisha mawasiliano yake kwa mamlaka

"Katika majenho ambayo yana ulinzi na yanakaa wakubwa (viongozi wa juu/waandamizi) eneo hilo lilikuwa sio tu lina ulinzi masaa 24 bali lilikuwa vilevile na kamera za CCTV, na kama mtakumbuka baada ya shamhulio hilo aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma alikuwa anaitwa 'Mroto' alitangaza kuwa Polisi walikua wamepata ile picha za hiyo CCTV kamera iliyokuwa inatazama ile parking lot ambayo nilikuwa nimeshambuliwa" -Lissu

Na huyo Paul Makonda bado eti ni mkuu wa mkoa...nchi hii!
Kumbuka: Watu wengi Sana hapa Tz ambao wamekuwa wakipewa promotion ya kupandishwa vyeo au kupata uteuzi katika nchi hii mara nyingi Sana ni wale Watu ambao wamekuwa wakijihusisha katika kutekeleza 'missions' fulani Fulani ambazo ni za udhalimu, au za uhalifu au za umwagaji wa damu. Ukichunguza kwa umakini Sana utagundua kwamba suala hili lina ukweli wa moja kwa moja.
Mfano Mdogo Sana ni kwamba kuna Kiongozi Mmoja kule Mkoani Kigoma alipotezwa katika Mazingira ya kutatanisha Sana huko miaka ya nyuma na mpaka Leo bado hajapatikana, kwa taarifa zilizopo yule mtu aliyehusika katika mission hiyo amepandishwa Cheo, na kuna wakati fulani mtu huyo walijaribu kumpatia Ukuu katika moja ya taasisi kubwa sana na nyeti kabisa hapa nchini, Ila uteuzi wake ulitenguliwa ndani ya masaa 24 baada ya kutangazwa kwa umma baada ya wananchi wengi kuonyesha kutoridhishwa na uteuzi wa mtu huyo. Nafikiri umenielewa kwa Sasa.
 
images (7).jpeg
 
Back
Top Bottom