Tundu Lissu: Aliyeongoza Kikosi cha wauaji walioagizwa kuniua ni Paul Makonda, ndio maana Marekani ilimzuia

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara Tundu Lissu amezungumza hayo mbele ya wanahabari leo, Jumatano Septemba 25.2024, jijini Dar es Salaam

Kiongozi wa kikosi cha mauaji dhidi yangu mwaka 2017 alikuwa Paul Makonda. Aliwaongoza wauwaji walionipigia risasi 36 Dodoma.” - Tundu Lissu

"Shambulio dhidi yangu (shambulio la Tundu Lissu kupigwa risasi) limetokea katikati ya majengo ya serikali wanayokaa Mawaziri, Naibu Spika Tulika akson kwa wakati ule (sasa ni Spika wa Bunge), Waziri Harrison Mwakyembe (aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo), Waziri wa Nishati wa wakati ule yeye alikuwa anakaaa juu na mimi nilikuwa nakaa chini" -Lissu

"Katika majenho ambayo yana ulinzi na yanakaa wakubwa (viongozi wa juu/waandamizi) eneo hilo lilikuwa sio tu lina ulinzi masaa 24 bali lilikuwa vilevile na kamera za CCTV, na kama mtakumbuka baada ya shamhulio hilo aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma alikuwa anaitwa 'Mroto' alitangaza kuwa Polisi walikua wamepata ile picha za hiyo CCTV kamera iliyokuwa inatazama ile parking lot ambayo nilikuwa nimeshambuliwa" -Lissu
Aweke hata kaushaidi hapa
 
Kama ni Bila ushahidi Makonda angeenda Mahakaman akashitaki anachafuliwa jina lake kwanini haendi na hio issue ya kumsema Makonda sio Leo.
Kuna watu hata akijinyea atasema chakula kimemdondokea!ndio kama huyu punguani walikuwepo,wapo,Watakuwepo hadi kiama!
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara Tundu Lissu amezungumza hayo mbele ya wanahabari leo, Jumatano Septemba 25.2024, jijini Dar es Salaam

Kiongozi wa kikosi cha mauaji dhidi yangu mwaka 2017 alikuwa Paul Makonda. Aliwaongoza wauwaji walionipigia risasi 36 Dodoma.” - Tundu Lissu

"Shambulio dhidi yangu (shambulio la Tundu Lissu kupigwa risasi) limetokea katikati ya majengo ya serikali wanayokaa Mawaziri, Naibu Spika Tulika akson kwa wakati ule (sasa ni Spika wa Bunge), Waziri Harrison Mwakyembe (aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo), Waziri wa Nishati wa wakati ule yeye alikuwa anakaaa juu na mimi nilikuwa nakaa chini" -Lissu

"Katika majenho ambayo yana ulinzi na yanakaa wakubwa (viongozi wa juu/waandamizi) eneo hilo lilikuwa sio tu lina ulinzi masaa 24 bali lilikuwa vilevile na kamera za CCTV, na kama mtakumbuka baada ya shamhulio hilo aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma alikuwa anaitwa 'Mroto' alitangaza kuwa Polisi walikua wamepata ile picha za hiyo CCTV kamera iliyokuwa inatazama ile parking lot ambayo nilikuwa nimeshambuliwa" -Lissu
Ameongea kama mwanasheria au Mwanasiasa? 🐼
 
Things fall apart
 
Chadema hua wanawasema wahusika ili kuirahisishia Serikali pa kuanzia ila Cha kushangaza Serikali hua inaogopa.
Issue ya Mafwele si ametajwa ila mumeona ameshikiliwa?

Kuna story Moja Mwalimu wangu aslikua anaisema sana wakat anatufundisha Somo la Legal Ethics Mwaka wa 4 alikua anasema Kuna Mfalme alimfukuza Make wake na wakaachana nae kabisa kisa Ilikua Scandal ya kua anatoka na mfanayakazi wa Mfalme..

Japo kua Mfalme alijidhihirisha kua ilikua ni scandal tu hakuepo ukweli ila Mfalame alifikia huo uamzi na kumwambia Make wake umedharirisha kitu Cha Malkiq Kwa status uliyonayo haikustahili hata kusingiziwa kitu kama hicho.

Hilo ni Doa watu walitakiwa kukuheshimu sana.

So the same hata Kwa Hawa baadhi ya viongozi wangekua wanatolewa madarakan Kwa sababu hio sio sifa nzuri Kwa kiongozi wa Umma.

Mafwele,Makonda and all others walitakiwa wasiwepo ofisin.
 
Back
Top Bottom