Tundu Lissu: Aliyeongoza Kikosi cha wauaji walioagizwa kuniua ni Paul Makonda, ndio maana Marekani ilimzuia

Tundu Lissu: Aliyeongoza Kikosi cha wauaji walioagizwa kuniua ni Paul Makonda, ndio maana Marekani ilimzuia

Junya kabisa wewe.

Huyo Mungu wako angekuwa fundi sana wala asingeruhusu Lisu apigwe marisasi yote hayo na kupewa kilema cha maisha.

Huyo Mungu wako atakuwa ni fundi Juma tu.
Leo umekuwa mbogo baada ya siri za Jiwe na watu wake kuanikwa. Pole sana kwani ndio kwanza kunakucha.
 
Ku
Kutajwa hata yoyote anaweza kutaja

Walete ushahidi wenyewe kabisaaaa tu uone , ni hawana ndio maana mpaka sasa bila kumtaja Makonda hawapati airtime..

Ya maandamano yameeashindwa hata uongozi wenyewe hawapo vizuri.. Basi wamtaje wapindishe njia..

Makonda ana 🌟🌟🌟💫💫💫
Aaah Kumbe ni wewe! .
 
Kwa hiyo Lissu ameamua kushughurika na kesi badala ya siasa?

Hapa nisiseme sana, ngoja kwanza Tigo amalizane na Lissu

Maana Lissu naye si wa kuamini sana kutokana na maisha yake ya kukaa huko

Na pengine keshaona kuna mlima mrefu na hawezi kuupanda ili afike Ikulu, kaamua ajilipe sasa kwa njia atakazo yeye
 
View attachment 3106664
Hata kama ulikuwa unalipa fadhila kwa Makonda baada ya kutaja jina lako pale Dodoma kwenye Bunge Maalum la Katiba, sasa inatosha.

Picha linakuja likimuonyesha moja kwa moja kuwa ni mhusika wa mashambulizi dhidi ya Lissu pale Dodoma mnamo Sep 7, 2017
Hakuna wa kutufundisha jinsi ya kuingoza wala wa kutwambia cha kufanya
 
Chadema akili hamna kama wewe unaweza kubishana hata na lissu pale atakapo sema ukweli ? Mbona lissu anajipendekeza kutaka kwenda kwenye kaburi la jpm kuhiji ....ulishajiuliza way? Lissu anaujua ukweli wote juu ya kupigwa kwake risasi.
J
Nonsense.
Wacha upumbavu..ukumsikia hata fisadi rostam a,izi akisema kuwa ni nani wa kushitakiwa kwenye mahakama za ndani ?
 
View attachment 3106664
Hata kama ulikuwa unalipa fadhila kwa Makonda baada ya kutaja jina lako pale Dodoma kwenye Bunge Maalum la Katiba, sasa inatosha.

Picha linakuja likimuonyesha moja kwa moja kuwa ni mhusika wa mashambulizi dhidi ya Lissu pale Dodoma mnamo Sep 7, 2017
Kama kutajwa tu unapumzishwa, wangeanza kupumzishwa watekaji.
Mwanzo kulikuwa na korabo kati ya lissu na samia. Baada ya lissu kutukana samia, korabo ya samia na makonda ikazaliwa. Makonda hatolewi ng'o....
 
Kutajwa hata yoyote anaweza kutaja

Walete ushahidi wenyewe kabisaaaa tu uone , ni hawana ndio maana mpaka sasa bila kumtaja Makonda hawapati airtime..

Ya maandamano yameeashindwa hata uongozi wenyewe hawapo vizuri.. Basi wamtaje wapindishe njia..

Makonda ana 🌟🌟🌟💫💫💫
Kwa nini hukutajwa wewe mara hizo zote?Acha kufuga nywele kichwani bila kukishughulisha kitatue changamoto zako.
 
View attachment 3106664
Hata kama ulikuwa unalipa fadhila kwa Makonda baada ya kutaja jina lako pale Dodoma kwenye Bunge Maalum la Katiba, sasa inatosha.

Picha linakuja likimuonyesha moja kwa moja kuwa ni mhusika wa mashambulizi dhidi ya Lissu pale Dodoma mnamo Sep 7, 2017
huyo hatakiwi kupumzishwa, aachwe aendelee kufanya kazi na apewe na vyeo vingine. kwa sababu kama hatatubu na kugeuka, adhabu stahiki anatakiwa apewe na Mungu mwenyewe, wanadamu wakimpa adhabu haitatosha. damu za watu alizomwaka (kama ni kweli) zitalia hadi dunia nzima itajua yupo Mungu afichuaye mambo ya sirini. Mungu anao uwezo kuweka mambo yaliyofanywa sirini yakawe wazi kabisa, yaliyofanywa uvunguni yakawekwa kwenye kiango, kuna watu walikuwa wababe ila Mungu aonaye sirini aliwadhalilisha, siku zote giza hudharilika mbele ya Nuru na Mungu ni wa haki, haki yakaa kwake.
 
Kwenye Mahakama zipi? Wale wale walioshindwa kumtia hatiani yule Dada Vyupa wa Babati au yule aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu au yule afande aliyewatuma Askari Uchwara ??? Acheni kujitoa ufahamu nchi imetapakaa laana kila kona..
Za Africa mashariki
 
View attachment 3106664
Hata kama ulikuwa unalipa fadhila kwa Makonda baada ya kutaja jina lako pale Dodoma kwenye Bunge Maalum la Katiba, sasa inatosha.

Picha linakuja likimuonyesha moja kwa moja kuwa ni mhusika wa mashambulizi dhidi ya Lissu pale Dodoma mnamo Sep 7, 2017
20240925_222509.jpg
 
Aliyemteua naye ana shida, mtu amevamia kituo cha Tv mchana kweupe, leo unamteua
Halafu mtu anakwambia urais ni taasisi.
Taasisi gani upuuzi mtupu. Taasisi haina uwezo wa kuona watanzania wengine wenye potentials inabiki kufanya kazi kwa kukaririana sura na majina waliyoyazoea hata ikibidi kwa gharama ya nchi!!?
 
J

Wacha upumbavu..ukumsikia hata fisadi rostam a,izi akisema kuwa ni nani wa kushitakiwa kwenye mahakama za ndani ?
Mpumbavu ni wewe unaehalalisha mauaji kwa raia badala ya kuruhusu mfumo wa sheria ufanye kazi na kwa haki. Huyo anaedaiwa kuagiza Lissu auawe kwa mamlaka aliyokuwa nayo alishindwa nini kuimarisha mfumo wa utoaji haki huko mahakamani ili wanaoshitakiwa huko wapate wanachostahili?
 
Back
Top Bottom