Pre GE2025 Tundu Lissu ameanza kupuuzwa, umaarufu wake umeshuka kwa kasi mno

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Uh, jitahidi karibuni utakuwa mkuu wa mkoa! Lisu anakuumiza sana kichwa. Acha jamii iamue juu ya hatima yake badala ya kupandikiza chuki dhidi ya Lisu. Omba mdahalo na Lisu ili umuumbue kwa hoja badala ya viooja kama hivi unavyopost mtandaoni. Come on, grow up man!
 
Msigwa akifeli upande wa TAL, CCM iwe makini na Msigwa sana, ataanza kuivuruga CCM
mkuu wa wilaya in waiting sio?

as political strategist msigwa ni mchanga mno kuhusika na masuala ya chama tawala,

and ofocoz he is not politically fit as per ruling party theories and ideology
 
Mngese wewe
 
kazi ya kutumikia wananchi ni muhimu zaidi, japo naheshimu pia wanaotumikia zile nafasi na fursa za kuteuliwa.

daima na kwa uaminifu mkubwa, nitawatumikia wananchi wangu walionipa dhamana ya kuwafanyia kazi, kwa bidii na weledi wa kiwango cha juu sana hadi tukamilishe yale mipango ambayo tumepanga na kuamua na kuyatekeleza pamoja.

hata hivyo,
kitaalamu na kibobevu zaidi siwezi kukaa kimya katika kutoa uzoefu wangu, maoni na mtazamo wangu,
dhidi ya siasa zinazoendelea kwenye vyama vya siasa humu nchini kwa faida ya wadau wote wa JF.

ni muhimu sana wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa kukataa vibaraka wa mabwenyenye wa magharibi na midomo yao
 
Gentleman,
ni mbaya sana kuishi kwa mihemko na ghadhabu huku ukiwa huna point na halafu unajojaribu kukitetea hakikubaliki na kinapuuzwa kila kona
Chawa hamtaweza dhuru chama ichi, jiandaeni kwa maumivu ya kutoa form moja , kama ambavyo mmekua na makambi hapa jf kuingilia mchakato ambao kwa hauwahusu na sisi utafika mda
 
Chawa hamtaweza dhuru chama ichi, jiandaeni kwa maumivu ya kutoa form moja , kama ambavyo mmekua na makambi hapa jf kuingilia mchakato ambao kwa hauwahusu na sisi utafika mda
gentleman,
hakuna haja ya mawenge wala kubabaika au kusingizia wengine masuala ya ndani ya chama kingine,

wajumbe wa mkutano mkuu watafanya uamuzi wa kihistoria kumkataa kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi mchana kweupe kwa uwazi kabisa,

so,
ni vizuri mkaepuka kuweweseka wakati mambo ndio kwanza yana anza
 
elezea kwa kina kifupi kwa faida ya wadua gentleman,

na itapendeza zaidi
Ni kwa kwamba sera za kuzungumzia mnazo nyingi sana kwa upana wa nchi na taasisi yenu. Inakuwaje unaamka Lisu ushinda kutwa nzima Lisu na unalala Lisu. Why? πŸ˜€
 
Traaaash. Poor brain chawa
 
Ni kwa kwamba sera za kuzungumzia mnazo nyingi sana kwa upana wa nchi na taasisi yenu. Inakuwaje unaamka Lisu ushinda kutwa nzima Lisu na unalala Lisu. Why? πŸ˜€
actualy,
ni katika kusisitiza tu kwamba,
wajumbe wa mkuatano mkuu wa chadema taifa , wanalo jukumu moja kubwa na muhimu sana kwa mustakabali wa ustawi na uhai wa chadema, ndiyo maana haya yote yanatokea kama yalivyo,

hata hivyo kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi lazima atakataliwa mchana kweupe na wajumbe
 
Wewe kijana wa Lumumba Chadema ikifa kwa si ndio nawe utaenjoy maana utakuwa huna mpinzani mwenye nguvu
 
Wewe kijana wa Lumumba Chadema ikifa kwa si ndio nawe utaenjoy maana utakuwa huna mpinzani mwenye nguvu
niinjoy vip sasa gentleman,

mimi ni mtafiti na mchambuzi wa siasa za vyama,
nitafanya utafiti na kujua nini kimesababisha chadema ife kifo cha mende halafu nitakuja kuandika humu,

si itapendeza zaid tu
 
my lady,
umekuja kwa kukurupuka dah? ila umechangamka haswa aise...

ni k-vant tu au unamix na redds?
Acha ujinga hebu, hata km ni uchawa huu wako ni utoto unaleta 😏😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…