Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amebadili upepo wa siasa. Watanzania tumuunge mkono

Nilikuwa nimekata tamaa ya kupiga kura ila kwa lissu kura yangu anayo.
Ubunge nampa wa ccm
 
Kabisa nchi imepoteza mwelekeo kila kitu ni mzaha mzaha tu, sasa ni zamu ya chama kingine kuongoza.
 

wacha wananchi waseme ukweli wenyewe usiwasemehe
 
Mkuu kwa sasa watanzania wengi wamesha amua na wapo tayari kumchagua mh Lissu

wewe wacha kusemea wananchi, unahakika gan tunamtaka lissu mm na ushahidi wananchi hawana ham na cdm
 
Ni YeYe Lissu anatosha
 
Karibu
Najua baadhi yenu mlikuwa mmeshakata tamaa
Sisi bado tulikuwepo
Ilikuwa ni njia ya kuwaonyesha viongozi hatukubaliani na upuuzi walioufanya.

Wote tungeendelea kusifia mwaka huu wangefanya madudu tena.chama kingezidi kuzama.
 
Mamilioni ya watanzania wana muhitaji mh Lissu kuwa rais wao.

πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ bado tu huamini amini kwamba mamilioni wanamtaka magufuli, wacha nkuibie siri kuna wananchama 6 watahamia ccm sku sio nyingi, achana na wale waliowakimbia kuna wengine around 5 or 6 watahamia ccm sku sio nyingi
 
Ilikuwa ni njia ya kuwaonyesha viongozi hatukubaliani na upuuzi walioufanya.

Wote tungeendelea kusifia mwaka huu wangefanya madudu tena.chama kingezidi kuzama.
Hakika
Shukrani kwa hilo
 
Hiyo ni moja ya kazi yako ukiwacha ile ya kupiga zumari
 
Lissu ndio raia pekee anaeweza kumkemea Jiwe hadharani bila uwoga.
Tuvushe lissu
 
Bado sijasikia Lissu atalifanyia nini Taifa zaidi nasikia miruzi mingi ikipigwa ya ushabiki bila hoja za msingi.
Mitano ya Dikteta makufuli inatosha, utawala wake wa mkono wa chuma sasa basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…