Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Nakuona mkuu!Njema mrembo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuona mkuu!Njema mrembo
KaribuHii ndio Chadema ninayoijua iliyopotea 2015.
Kwani kampein zimeanza?Bado sijasikia Lissu atalifanyia nini Taifa zaidi nasikia miruzi mingi ikipigwa ya ushabiki bila hoja za msingi.
Maisha magumuNakuona pia...kitambo sana
Amen Mungu atupe.pumzi tushuhudie changesWala usiwe na hofu mambo yatakaa sawa tu
Kwa Watanzania wenye akili timamu mtakubaliana nami kuwa miaka 5 ya awamu hii ya 5, kimekuwa kipindi kigumu sana kilichojaa;
Hofu
Mashaka
Umasikini uliotopea
Ombwe la kiuongozi nk.
Watanzania wengi mioyo yao imejaa mashaka na kutojiamini tena.
Ni enzi za watawala wachache kuneemeka na kufanya walitakalo bila kuwajibishwa na yeyote.
Lakini baada ya Tundu Lissu kuteuliwa kuwa mgombea wa urais na kuanza kitema cheche, naona mioyo ya Watanzania ikihuishwa tena kuingia ulingoni kuipigania Tanzania yenye neema.
Wito wangu, tumuunge mkono huyu shujaa aliyejitoa Sadaka.
Kuthubutu kuyanyooshea kidole mapungufu ya huyu mfalme yahitaji moyo lakini huyu mwamba amedhamiria.
Kwa masikio yangu nimewasikia ccm wengi wakibadili gia angani na kuahidi kumpigia kura Lissu.
Shime Watanzania tuipiganie heshima ya nchi yetu nzuri ya maziwa na asali, upendo na mshikamano

Mkuu kwa sasa watanzania wengi wamesha amua na wapo tayari kumchagua mh Lissu
Ni YeYe Lissu anatoshaMkuu nimejisikia kuchemka ndani yangu. Pia nimejifunza kitu kuwa hata ujio wa Lowasa kuna wengi waliumia.
Lakini sasa nimeanza kuipna ladha halisi ya upinzani, misimamo ya thabiti na divosheni isiyotia shaka katika kuirejesha Tanzania iliyo bora.
Nilisema ikiwa upinzani utaendelea kupwaya nisingepiga kura tena, lakini sasa nimeanza kuamka upya ndani yangu
wewe wacha kusemea wananchi, unahakika gan tunamtaka lissu mm na ushahidi wananchi hawana ham na cdm
Ni YeYe Lissu anatosha
Ilikuwa ni njia ya kuwaonyesha viongozi hatukubaliani na upuuzi walioufanya.Karibu
Najua baadhi yenu mlikuwa mmeshakata tamaa
Sisi bado tulikuwepo
Mamilioni ya watanzania wana muhitaji mh Lissu kuwa rais wao.
HakikaIlikuwa ni njia ya kuwaonyesha viongozi hatukubaliani na upuuzi walioufanya.
Wote tungeendelea kusifia mwaka huu wangefanya madudu tena.chama kingezidi kuzama.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bado tu huamini amini kwamba mamilioni wanamtaka magufuli, wacha nkuibie siri kuna wananchama 6 watahamia ccm sku sio nyingi, achana na wale waliowakimbia kuna wengine around 5 or 6 watahamia ccm sku sio nyingi
Mitano ya Dikteta makufuli inatosha, utawala wake wa mkono wa chuma sasa basi.Bado sijasikia Lissu atalifanyia nini Taifa zaidi nasikia miruzi mingi ikipigwa ya ushabiki bila hoja za msingi.