PreGE2025 Tundu Lissu amegoma kesi yake kuendeshwa kwa njia ya Mtandao. Kesi yaendelea Mahakamani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Walitaka isomwe akiwa gerezani ila yeye alitaka mahakamani iwe wazi, cha kushangaza hawataki kumleta mahakama ya wazi Kisutu?.
 
Ukumbuke kuutuliza na ****** wako maana unagombaniwa kishenzi
 
Kwanini hawataki kumleta mahakama ya wazi Kisutu?.
Hakuna mtu anayemugopa mtu usiwe mtumwa wa historia kuwa ohh zamani yalikuwa yakifanyika hivi na sasa lazima yafanyike teknolojia inashika nafasi na hivyo vya mahakama kuna madiliko ya teknolijia vitafungwa.Kesi zitaendeshwa mtandao tu

Kusajili kesi sasa hivi ni mtandaoni tu

Pole kwa kuacha shughuli zako za kukuingizia kipato, kupoteza nauli na muda na gharama za kulala guest nk kisa uje kusikiliza kesi hewa ambayo haikuwepo Leo

Tukushukuru kwa kuchangia wenye magari na Guest kuwaingizia kipato
 

Anataka mahakama ya wazi dunia na kila mtu aone ccm hawataki kwanini?
 
Ninachokifahamu hakuna kesi hapo,bali wanadhani kuwa mfupa uliomshinda Mwanachato uta lainika lkn kila wanapo tuma wezi wenzao kwenda kuzungumza naye Mwamba anaendelea kuimba wimbo ule ule.

Sasa kwa nini wakavuliwe nguo hadharani basi ni bora waweke mpira kwapani huku wakiendelea kutafuta namna ya kumuita Magogoni jambo ambalo ninajua LISSU bado atagoma hata kupita karibu na jengo lile.
 
Hakuna s
serikali ambayo imewahi kuushinda umma!!

Samahani hivi nikikuuita wewe KENGE au KIMA kwa hoja hii ya kitoto nitakuwa nimekosea???
HUJAKOSEA MIMI NI KENGE TENA WA MTONI ILA NASIKITIKA UNAVAMIA HOJA ZA WANAUME WE BWEGE WA KIKE KAZI YAKO UNAIJUA NI KUNYONYA MADUSHE YETU MPAKA AKILI ZIMEKUISHA NENDA KAKUMBATIE DUSHE LA MUMEO ACHANA NA HOJA ZA WANAUME
 
Thanks ,Team yote ya mawakili upande wa utetezi( Mmejipanga haswa)
Thanks ,Mh lissu kwa msimamo wako. Thanks Mh Hakim kwa utulivu sikivu, Mungu yupo kazini
 
Imekuaje, ongezea nyama.

Umeandika kama unakimbizwa au ni furaha?
 
Reactions: Lax
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…