Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Yes loveBaby
Yes loveBaby
Kwamba akienda mahakamani haiwezi kurusha online? Ama hiyo online lazima awe gerezani ndio inafanya kazi? Hilo link lenyewe ni lizito kisha mnataka kujifanya mnaendesha kidigital?!Una uelewa mdogo mno
Rudia kusoma hata kichwa cha habari tu nacho umeshindwa kuelewa?
Anayekataa kesi isiendeshwe wazi ni Lisu sio serikali wala polisi wala CCM
Kesi imewashinda kabla hawajaianza😀😀Ombi la kwanza ni hilo anaomba ahirisho dogo wajiandae chakujibu. Naona wanataka kupewa maelekezo kutoka juu. Ameulizwa mnajiandaa nini wakati kila kitu kipo wazi mtujibu. Akasema anahitaji kuongea na mamlaka zingine ili ajue atasema nini.
Kwann isifanyike live kisha iwe live recorded ili dunia nzima ione?Kwani anaficha nini?
Si yeye kutwa anapiga kelele kutaka uwazi
Hiyo kesi iendeshwe kwa uwazi ili kila mtu aone haki inatendeka sio baadaye aje na porojo zake kuwa majaji hawajui kingereza na hawakutenda haki sababu ni CCM
Ifanyike live dunia yote ione
Maskini wameikimbia kesi😀😀😀Mahakama imeanza tena. Hakimu Mhini anauliza Mawakili wa serikali kama wapo online. Anawaita hawaitiki kabisa. Hawapo. Sijui ndio wameshaenda kujiandaaa. Mawakili wa utetezi wanakasirika wanasema hawa wanatuletea dharau.
nakupenda mpenziYes love
Well1. Haki ya Kusomewa Mashtaka Mahakamani kwa Hadhira ya Umma
Katiba ya Tanzania, Ibara ya 13(6)(a):
Inasema kwamba kila mtu ana haki ya kusikilizwa na mahakama au chombo kingine cha haki, kilicho huru na kisichoegemea upande wowote, na katika mazingira ya wazi, isipokuwa kama kuna sababu za msingi za kufanya hivyo faraghani.
➡️ Maana yake: Mshtakiwa ana haki ya kusomewa mashtaka mbele ya mahakama hadharani, na hii mara nyingi hufanyika ana kwa ana kwa mara ya kwanza, ili kuhakikisha:
- Uhalali wa kumshikilia unathibitishwa.
- Anajulishwa rasmi mashtaka yanayomkabili.
- Ana nafasi ya kuomba dhamana au kujibu mashtaka.
2. Sheria ya Mwenendo wa Mashauri ya Jinai (CPA), Sura ya 20
Sheria hii inaweka utaratibu wa hatua mbalimbali za mashauri ya jinai.
Kifungu cha 187(1) kinataja kuwa:
➡️ Maana yake: Mshtakiwa anatakiwa awepo mahakamani kwa kusomewa mashtaka yake, si kwa njia ya mtandao kabla ya hatua hizo kukamilika.
3. Utaratibu wa Mtandao na Haki za Mshtakiwa
Kwa kutumia teknolojia ya video au mtandao, kuna miongozo inayotakiwa ifuatwe, ikiwa ni pamoja na:
- Mshtakiwa kukubali kuendelea kwa njia hiyo.
- Kuhakikisha kwamba haki zake hazivunjwi (kama kushauriwa na wakili, kusikia kila kilichosemwa, n.k).
- Kuwepo kwa mazingira salama ya mawasiliano.
Ikiwa mshtakiwa hajakubali kwa hiari, au hajawahi kufikishwa mahakamani ana kwa ana, basi kutumia mtandao bila kukamilisha hatua hizo za awali kunaweza kuonekana ni ukiukaji wa haki zake za msingi.
Hitimisho:
Kwa kuzingatia Katiba na sheria za Tanzania, kuna msingi wa kisheria unaoweza kuhalalisha msimamo wa Lissu kugoma kuendelea kwa njia ya mtandao ikiwa hakuwahi kufikishwa mahakamani kwa mara ya kwanza kusomewa mashtaka. Hili linaenda sambamba na haki ya kuwa na mchakato wa haki, uwazi, na usawa mbele ya sheria.
AibuYaan polisi mnao bado hamtaki TAL apelekwe mahakamani
😂😂
SanaaaAibu
Mzee unaelewa kweli maana ya kesi kwa njia ya mtandao?hataki dunia ione akihojiwa anataka kupika nini?
TELE COURT ROOM NDIYO UTARATIBU BORA NA WA KISASA ZAIDI DUNIANI!Lissu agoma kuendelea na kesi kwa Mtandao
Wewe ni mwanasheria bila shaka na umeelewa sheria iliyotumika ndio maana umekuja na andiko hili.Wameamuaribia kiki yake, ukute Lissu alipanga aseme ‘aluta continua’ mbele ya wafuasi wa CDM. Sasa huko gerezani atasemea wapi.
On a serious note kipi muhimu kwa wanasheria wa Lissu, kiki za wanasiasa au ku-expose udhaifu wa sheria za nchi na legal process mbele ya dunia.
Mawakili wenyewe wa serikali wamekula kona hata mahakamani awajaenda, live mtandao si ndio ingekuwa fursa ya ku-expose mapungufu ya kisheria kuanzia alipokamwata mpaka leo.
Kupanga ni kuchagua, akili ni nywele na kila na zake.
Haya hiyo link ya kesi ipowapi anyone please