PreGE2025 Tundu Lissu amegoma kesi yake kuendeshwa kwa njia ya Mtandao. Kesi yaendelea Mahakamani

PreGE2025 Tundu Lissu amegoma kesi yake kuendeshwa kwa njia ya Mtandao. Kesi yaendelea Mahakamani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mkuu, hivi huoni wanacho kiogopa? Wanaogopa AIBU ya kuvuliwa nguo hadharani! Jua kuwa hakuna kesi ya UHAINI hapo baali ni MAIGIZO ya Polisi na CCM. Mtu yeyeto mwene akili timamu hili liko wazi kabisa!
Una uelewa mdogo mno
Rudia kusoma hata kichwa cha habari tu nacho umeshindwa kuelewa?

Anayekataa kesi isiendeshwe wazi ni Lisu sio serikali wala polisi wala CCM
 
Policcm watu wa ajabu sana,wameklmkamata wenyewe wanaogopa kumleta mahakamani wenyewe!
 
Ni lazima tuwe tayari kulipa gharama kubwa kupambana na wakoloni weusi; vinginenyo, watatumaliza.
Kwani umesahau kuwa chadema na wapinzani ma mashekh tanzania walikuwa wanasema mama ana upiga mwingi ....
 
Analeta vioja tu

Unakataaje chombo kinacho tambuliwa na mahakama kisheria kama sio kutaka publicity.


Wamwache rumande, vyuma vikikaza vizuri, ataomba poo

========

Utasikia anagoma kula 🔥🙌🏾
Mbon hawakusema mapema kuwa kesi itaaendeshwa kwa njia ya mtandao? Ni kweli anataka publicity, ww inakuuma nini? Kugoma kula ni sehemu ya kudai haki. Una lingine?
 
Sasa Lisu anagoma nini kuendeshwa kwa uwazi Tanzania wakati huo huo hupongeza kenya kuendesha kesi kwa uwazi

Kwa nini atake kesi yake isiendeshwe kwa uwazi?
ivi iyo kimtandao hadi wewe unakuwa unaona kinacho endelea ama inakuwa n lissu na majaji tu naomba uzoefu
 
Ione nini. Wewe uliposikia mahakama mtandao unadhani ni uonyeshwaji live wa kesi?
😳😳

Watu wa CCM sijui mkoje!?
Boss, mahakama mtandao inaweza kuwa mubashara au isiwe mubashara. Kama kuna link imetumwa watu wajoin basi hiyo ni mubashara, changamoto huwa ni uwezo/capacity, sidhani kama kwa tech yetu inaweza kubeba hata watu 500. Nadhani ndo maana TAL anakataa, huenda anahitaji uhakika wa kesi yake kuwa ya uwazi usio na shaka na njia sahihi ya hilo kutokea ni live streaming kupitia wahandishi wa habari.
 
Back
Top Bottom