Tochuku
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 5,322
- 8,412
Lisu anashindana vipi na serikali ?anajidanganya kuwa anaweza kushindana na serikali
Lisu anashindana vipi na serikali ?anajidanganya kuwa anaweza kushindana na serikali
Heri ya mkoloni mweupe kuliko huyu mweusi, asiye na welediMwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amegoma kusikiliza kesi ya Uhaini inayomkabili kwa njia ya mtandao hii ni kwa mujibu wa mawakili wake. Lissu alipaswa kufikishwa Mahakamani leo ili kufatilia mwenendo wa kesi hii.
Pia soma > LIVE - Kisutu: Kesi ya Tundu Lissu leo itaendeshwa kwa njia ya Mtandao. Kila Mtu huru kusikiliza
View attachment 3313918
Lisu kuliko waswahili wa uswahilini akiongea hiki kesho anageuka yuko kama kinyongaarudishwe korokoroni mpaka wakati mwingine,
siku zote analilia tektonolojia na uwazi kwenye chaguzi na mengineyo, leo ng'we ng'we hataki teknolojia tena, huyo ni useless and nonsense kabisa![]()
Acha ujinga basijamaa misimamo kama yanga
Mahakama mtandao haina tofauti na hii ya kawaida
hakuna haja ya yeyote kusogelea majengo ya mahakama ya kisutu, ni muhimu sana dunia nzima ikaunganishwa na teknolojia na kushuhudia uwazi na haki ikitendeka kwa watuhumiwa vibaka na waropokaji wote TanzaniaAcheni blah blah mpelekeni Kisutu sio kumficha.

yaani mropokaji na manyumbu wot hata hayaelewi yanachodai au kutetea, ni ajabu sana aisee mtu kuigomea technolojiaLisu kuliko waswahili wa uswahilini akiongea hiki kesho anageuka yuko kama kinyonga
Yaani wafuasi wake ndio maana wamepewe jina la nyumbu

Inaniuma kujua anavyuma mwilini. Huko alipo hateseki kweli?Mbon hawakusema mapema kuwa kesi itaaendeshwa kwa njia ya mtandao? Ni kweli anataka publicity, ww inakuuma nini? Kugoma kula ni sehemu ya kudai haki. Una lingine?
Wampige hadi julai ili dunia ione haki kwenye nchi hii inavyomezwa na mamlaka, mtu anatumikia kifungo bila hukum 😔 ony TZAkirudi inapigwa June 13,akigoma tena June 27.
Iyena iyena itakuwa imeanza kunoga
Ina uwezo wa kubeba hata wasikilizaji bilioni moja ni kama youtu.be tuBoss, mahakama mtandao inaweza kuwa mubashara au isiwe mubashara. Kama kuna link imetumwa watu wajoin basi hiyo ni mubashara, changamoto huwa ni uwezo/capacity, sidhani kama kwa tech yetu inaweza kubeba hata watu 500. Nadhani ndo maana TAL anakataa, huenda anahitaji uhakika wa kesi yake kuwa ya uwazi usio na shaka na njia sahihi ya hilo kutokea ni live streaming kupitia wahandishi wa habari.
Basi amesha zoea jelaMwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amegoma kusikiliza kesi ya Uhaini inayomkabili kwa njia ya mtandao hii ni kwa mujibu wa mawakili wake. Lissu alipaswa kufikishwa Mahakamani leo ili kufatilia mwenendo wa kesi hii.
Pia soma > LIVE - Kisutu: Kesi ya Tundu Lissu leo itaendeshwa kwa njia ya Mtandao. Kila Mtu huru kusikiliza
View attachment 3313918
nadhani elihu at Praia badu ni tatizo sana nchi hi viana ni wipe mnoMahakama siyo Serikali. Au hujui Serikali ni nini?
Inteligence estimates za TISS wanazopeleka Ikulu ni mbovu.Tulimwambia Magufuli usitumie nguvu kupambana na Lissu utaaibika akagoma matokeo yake yote tunayajua.
Tumemwambia Samia usitumie nguvu kupambana na Lissu utaaibika kawasikiliza wajinga matokeo yake ndo haya.
Kwa kuwa Mtuhumiwa lazima apewe haki zake kisheria, matokeo ya hili ni kwamba Mahakama ni lazima impe Lissu haki yake ya kusikilizwa Mahakamani.
Akili ni nywele na ubaya ni kwamba CCM, TISS na Polisi hawana hizo nywele.
dunia nzima wana access na kushuhudia na kuona jinsi haki ikitendwa na mahakama za Tanzania,Keshagoma sasa na vimtandao vyenu ambavyo hata watu 1000 tu haviwezi kuwaunga, mnajitutumua na vitech wkt hata kuvijua tu bado, mnakariri sana

YaaniNi lazima tuwe tayari kulipa gharama kubwa kupambana na wakoloni weusi; vinginenyo, watatumaliza.
Dunia wana mambo yao hawakodolei ya Tanzania tuWampige hadi julai ili dunia ione haki kwenye nchi hii inavyomezwa na mamlaka, mtu anatumikia kifungo bila hukum 😔 ony TZ
Hehee....kwakweli vichekeshoYaan polisi mnao bado hamtaki TAL apelekwe mahakamani
😂😂
dunia nzima wana access na kushuhudia na kuona jinsi haki ikitendwa na mahakama za Tanzania,
in fact hadi wakili wake Bob Robert Amsterdam atakua anamshangaa mteja wake kuigomea technolojia,
mihemko ya kinyumbu ni kitu mbaya na nonsense sana aise,
inakufanya usijue hata nini unataka, nini unadai au nini unatetea![]()
Hizi takwimu umezipata wapi? Hii mitandao ya Serikali ambayo watu tu 1000 wakiitumia inakuwa "Down" ndiyo Ina uwezo wa kubeba watu bilioni Moja?Ina uwezo wa kubeba hata wasikilizaji bilioni moja...