Waliomuweka ndani, ndio waliopelekea kupata vyuma mwilini, hivyo kama ni maumivu kwao ni jambo la furaha. Ni kweli, kinadharia mahakama ina uhuru wake, lakini kiuhalisia inatekeleza hujuma za serekali.Inaniuma kujua anavyuma mwilini. Huko alipo hateseki kweli?
Ndio nina lingine.
Mahakama ina Uhuru wake.
Kuidharau mahakama kwa kiingereza ndiyo "contempt of court"? Ili mtu aonekane ameidharau mahakama Sheria inasema inatakiwa awe amefanya nini?Ameidharau mahakama?. Kesi inasogezwa mbele.
Weka UshahidiWakati kishapanga lissu atoke ndani November
Ndio presha yenyewe hiyoWakati kishapanga lissu atoke ndani November
Huna ulijualo.Siongelei ya serikali hapo naongelea ya mahakama muhimili wa mahakama
Na siongelei website naongelea connection za YouTube na online Tv premium ambazo kesi zikianza live zinatumika hizo unlimited
relax gentleman,Tutampeleka na mama yako wakalale na lisu gerezani

Pressure mtu katulia ala kababu ikuluNdio presha yenyewe hiyo
Shahid wangu wakatiWeka Ushahidi
Ukitaka kumkomesha Lissu labda umuue. Nje ya hapo Kile ni Kichwa Kimejaaliwa uwezo na maarifa mengi.Tundu is a lawyer who is conscious of his rights. Remember when they wanted to set him up by asking him to provide urine? He refused! This online court seems to be another setup. He is not to walk into a trap!
Serikali inajichafua yenyewe kimataifaanajidanganya kuwa anaweza kushindana na serikali
Kugomea mtandao kitu gani unaweza hata kumgomea hakimu.Ameidharau mahakama?. Kesi inasogezwa mbele.
Ndo maana wanataka kumuua kwa kumnyongaUkitaka kumkomesha Lissu labda umuue. Nje ya hapo Kile ni Kichwa Kimejaaliwa uwezo na maarifa mengi.
Kumuua nako pia ilishashindikana. Kwa hiyi wajipange
Hili halitatendeka, Mungu ni mweza wa yote.Ndo maana wanataka kumuua kwa kumnyonga
Sikia boss, kuwa neutral kisha toa maoni. Usikae upande wowote.Ina uwezo wa kubeba hata wasikilizaji bilioni moja ni kama youtu.be tu
Au online TV au Radio
Youtube au online Tv au online Radio ulishawa ona zikizidiwa? Hakuna kitu kama hicho
Tv na radio tu za kawada watanzania wote milioni 60 tukiwasha tunasikia vizuri shida sembuse online.Ni bundle lako tu
Lissu atatoka acha kupoteza mda kama zombie hakuna kesi ya kumfunga LissuAkirudi inapigwa June 13,akigoma tena June 27.
Iyena iyena itakuwa imeanza kunoga
Kesi waliianzisha wao wakadhani wanamkomoa Lissu😀😀Hivi ni nini kinaendelea jamani, seriously sielewi kabisa
Lissu mtaalamu sana wa hizi kazi aisee🤣CCM Serikali yao wana weweseka na Tundu Lissu. Walishindwa kumwua Bungeni Dodoma kwa risasi 16!!
Sasa wameanza kuweka mitego mingine ya kummaliza!! Kama Mungu amepanga jambo alifanye kupitia kwa mtu fulani CCM ba Serikali yenu mtapata taabu sana.
huenda mgeni wa technologia ndie pekee hajui changamoto za technolojia,Mtandao wenyewe ushabuma kule nenda kasaidie chawa kurestart na kutroubleshoot, mzabuni keshakula mabilioni na rushwa mshagawana anakula maisha Dubai kule! 😛 😛 😛
Dunia ishuhudie mtandao usioweza kubeba hata watu 500, si unaishia Magomeni hapo
