PreGE2025 Tundu Lissu amegoma kesi yake kuendeshwa kwa njia ya Mtandao. Kesi yaendelea Mahakamani

PreGE2025 Tundu Lissu amegoma kesi yake kuendeshwa kwa njia ya Mtandao. Kesi yaendelea Mahakamani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Nenda kaiwashe mzee, keshagoma hata hivyo watatumia wengine, kama mlidhani uwezo wa mwalimu Lissu ni kama wa maafisa chawa na makada, mmejichanganya sana, mama yenu anajua tangu bunge la katiba wajumbe walivyokuwa kimya wakipata somo mara tu anaposimama! Alimuita simba kwa hiyari yake mwenyewe.

Chawa unajua mziki wa Simba? Huu ni mwanzo tu, mtataga mayai mbele ya safari, hii ni kesi ya mwanasheria mbobevu ambaye hawa weerema alikubali na kukaa kimya sio ya mwamba! Yeye peke yake ni wakili wake ukiunga na team yake lazima mtakaa chini tu, tusubiri tuone, muda ni mwalimu mzuri sana...
hakuna kingine cha kufanya gentleman dhidi ya mropokaji huyu,
arudishwe korokoroni mpaka baada ya siku 30 kesi yake itakapo tajwa tena,

kuna kazi muhimu za kufanya pia :pedroP:
 
Kwa akili yako ndogo unadhani kuwa na jengo zuri la ofisi ndio kuwa wakili mzuri. Ofisi haijengi hoja, hoja zipo kichwani.
Kongole sana, naona watu mnatoa shule ya maana na ya bure kwa haya mazwazwa na vilaza wa CCM.
 
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeahirisha kwa muda kesi zinazomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ya uhaini na kusambaza taarifa za uongo mtandaoni, ambayo imepangwa kusikilizwa kwa njia ya mtandao.

Kesi hiyo imeahirishwa kutokana na mtandao kusumbua na kutokusikika vizuri.
 
punguza mihemko muerevu wacha kujipiga kifua with nonsense point,

unaogopa technolojia hali ya kua umeililia hadi kwenye chaguzi halafu tena ng'we ng'we ghafala hutaki tena technolojia,

kasongo bana, kweli mbona weo:pedroP:
Unakijua kinachogomewa?
 
Una uelewa mdogo mno
Rudia kusoma hata kichwa cha habari tu nacho umeshindwa kuelewa?

Anayekataa kesi isiendeshwe wazi ni Lisu sio serikali wala polisi wala CCM
😀😀Mambo ya kupigania nchi ni mambo ya wachache wenye akili ,sasa JF inaleta mada zote hata kwa watu ambao hawakutakiwa hata kuchangia maana hawaelewi chochote
 
Analeta vioja tu

Unakataaje chombo kinacho tambuliwa na mahakama kisheria kama sio kutaka cheap publicity.


Wamwache rumande, vyuma vikikaza vizuri, ataomba poo

========

Utasikia anagoma kula 🔥🙌🏾
Humfahamu Lissu!!Kama Mbowe alikaza inakuwaje kwa Mtu Makini zaidi kama Lissu.!!
 
Back
Top Bottom