Inside10
Platinum Member
- May 20, 2011
- 34,776
- 42,933
Wewe kiazi huko shule ya kata ulienda somea ujinga?!anajidanganya kuwa anaweza kushindana na serikali
Mahakama si serikali
Punguan Wahed
Wewe kiazi huko shule ya kata ulienda somea ujinga?!anajidanganya kuwa anaweza kushindana na serikali
Serikali sio 'mungu' msijidanganye amkeni badilikenianajidanganya kuwa anaweza kushindana na serikali
Unahangaika bure kesi zote ni open mtu yeyote ingia kusikiliza mahakamaniNdio maana huwa mnafeli hata multiple choice, umeulizwa sheria badala ya kutoa vifungu unamwaga uchafu tu hapa huyu mama na bado anakulipa??? pathetic
kama uraisi siyo kitu mnamhangaikia nini huyo kizi mkazi wenuAlalemo 14 nyingine, kwa akili sake anaamini kisutu ina mafuriko ya watu, aaaahh wapi, yaani tuache kutafutia watoto ugali tuangaikie mnyaturu anayependa urais
usicho jua mjinga wewe ni kwamba Hilo nipigo kwa serikali ,mana wao ndo wameratibu kupitia mahakamaAlalemo 14 nyingine, kwa akili sake anaamini kisutu ina mafuriko ya watu, aaaahh wapi, yaani tuache kutafutia watoto ugali tuangaikie mnyaturu anayependa urais
Kunywa soda nalipiaAlalemo 14 nyingine, kwa akili sake anaamini kisutu ina mafuriko ya watu, aaaahh wapi, yaani tuache kutafutia watoto ugali tuangaikie mnyaturu anayependa urais
Mateso ya kujitakia mtu kufurahia ruksaUsifurahie mateso ya watu hii dunia tunapita tu
Wakati serekali haijali sheria bali inajali kusaka ushindi tu.anajidanganya kuwa anaweza kushindana na serikali
Ndio inatakiwa, hata wale waliomkata watakuwa na furaha ziadi.Mateso ya kujitakia mtu kufurahia ruksa
Mkuu, hivi huoni wanacho kiogopa? Wanaogopa AIBU ya kuvuliwa nguo hadharani! Jua kuwa hakuna kesi ya UHAINI hapo baali ni MAIGIZO ya Polisi na CCM. Mtu yeyeto mwene akili timamu hili liko wazi kabisa!Mambo ya kijinga sana haya. Wanaogopa nini kumpeleka mahakamani, na wakati wamemkamata na kumshtaki wao wenyewe?
Kama huna comment ni busara kusoma na kupita.Alalemo 14 nyingine, kwa akili sake anaamini kisutu ina mafuriko ya watu, aaaahh wapi, yaani tuache kutafutia watoto ugali tuangaikie mnyaturu anayependa urais
Serikali ni mimi na wewe wengine ni watumishi wetu wanatakiwa watusikilize sisianajidanganya kuwa anaweza kushindana na serikali
watu intelligent hawawazi matumbo wanawaza kuishi kwa ajili ya wengine...wewe kaa na ubinafsi wako wa buku 2
The like of alot freedom fighters hawakuwa na njaa lakini they sacrificed there life
No wonder watu wajinga wamechagua kuwa machawa
Acheni blah blah mpelekeni Kisutu sio kumficha.arudishwe korokoroni mpaka wakati mwingine,
siku zote analilia tektonolojia na uwazi kwenye chaguzi na mengineyo, leo ng'we ng'we hataki teknolojia tena, huyo ni useless and nonsense kabisa![]()
Dah Hutokufa Utaishi Milele. Nakuombea sana kwa kutojua unachoandika.Analeta vioja tu
Unakataaje chombo kinacho tambuliwa na mahakama kisheria kama sio kutaka publicity.
Wamwache rumande, vyuma vikikaza vizuri, ataomba poo
========
Utasikia anagoma kula 🔥🙌🏾
Show game serikali ndio inayoifanya kwa kuogopa kuumbulika.Hiyo ni mahakama mtandao, na kuna sheria inayoongoza kutumia mtandao, yaani hakuna show game mwaka huu
Unahangaika bure kesi zote ni open mtu yeyote ingia kusikiliza mahakamani
Mahakama mtandao haina tofauti na hii ya kawaida kuwa yeyote aweza ingia na hukumu ikitoka yote huchapishwa mtandaoni hapewi mtu hukumu kama siri kama zamani
Sasa hukumu zote za mahakama ziko mtandaoni sio siri
Hukumu kama sio siri uendeshaji wake ndio uwe siri?