Mahakama mtandao ni sawa na kurekodi kesi na kuirusha live kwenye TV sasa kwa nini Lisu agome kuwa isirushwe live?Hebu itaje hiyo sheria inayoongoza hayo mambo ya mahakama mtandao!
Kifupi anachokataa Lisu kama hujui ni.kuwa hataki kesi yake irushwe live kwa ufupi kama hujui kesi mtandao ni kitu gani kutokana na elimu duni uliyonayo
Hataki irushwe live anaogopa nini?
Mahakama isikubali kuyumbishwa naye.Iendeshwe live
