PreGE2025 Tundu Lissu amegoma kesi yake kuendeshwa kwa njia ya Mtandao. Kesi yaendelea Mahakamani

PreGE2025 Tundu Lissu amegoma kesi yake kuendeshwa kwa njia ya Mtandao. Kesi yaendelea Mahakamani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mnielemishe. Kuendesha kesi kwa njia ya mtandao ukoje. Wanatumia njia gani. Je hapo hakuna kuzungumza?.
 
Uhuru wako na siku 14 kitu gani, Mandela alikubali kukaa gerezani miaka 27 kulinda uhuru wake.
YAAANI UNAMLINGANISHA MANDELA NA HIKI KITUKO CHENU LISSU? NEVER MNAJIDANGANYA HUYO NI KICHAA KASORO
 
Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amegoma kusikiliza kesi ya Uhaini inayomkabili kwa njia ya mtandao hii ni kwa mujibu wa mawakili wake. Lissu alipaswa kufikishwa Mahakamani leo ili kufatilia mwenendo wa kesi hii.

Pia soma > LIVE - Kisutu: Kesi ya Tundu Lissu leo itaendeshwa kwa njia ya Mtandao. Kila Mtu huru kusikiliza

View attachment 3313918
Bongo lini wakawa na uwezo wa kustream live?

Matokeo ya necta yakitoka ambayo huwa Kuna watu 1000 wanaangalia ila system huwa haipatikani, watauweza mziki wa live streaming ambao zaidi ya watu 100,000 watakuwa live. Bora wangetoa link ya YouTube kidogo wangeeleweka.
 
Hizi takwimu umezipata wapi? Hii mitandao ya Serikali ambayo watu tu 1000 wakiitumia inakuwa "Down" ndiyo Ina uwezo wa kubeba watu bilioni Moja?
Siongelei ya serikali hapo naongelea ya mahakama muhimili wa mahakama

Na siongelei website naongelea connection za YouTube na online Tv premium ambazo kesi zikianza live zinatumika hizo unlimited
 
Back
Top Bottom