Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 12,297
- 18,156
unachagua magari wakati unamiliki baiskeli--- mambo ya ajabu sana kwenye internet 😀Dah,mara onesha chumba kisichokua na pikipiki,onyesha vyumba vyenye miguu
unachagua magari wakati unamiliki baiskeli--- mambo ya ajabu sana kwenye internet 😀Dah,mara onesha chumba kisichokua na pikipiki,onyesha vyumba vyenye miguu
Lugha za mafisadi, mwisho waja na uu karibu.Hapo lissu huko gerezani anaamini kuna wanachama wamejitokeza mahakamani kumbe jamaa wamejifungia chumbani kama kawaida yao wanapiga mikwara nyuma ya keyboard
Na anawajambisha haswaaaFyongozi wanahanya nini? Mbona Lissu hana majeshi wala silaha lkn anawajambulisha hivyo?
Sema mawakili wa sirikali wanajifedhehesha sana na kujibebesha midhambi wao na familia zao!!
Mpka aibuuuSerikali inajivua nguo sokoni..!! 😥
Wao wanaona fahariiiii! Ngoja tuone mwisho wao.Serikali inajivua nguo sokoni..!! 😥
Ila mawakili si wamesema mahakama ilitakiwa kutoa notice ya siku 7 kuwaambia km kesi itaendesha kwa mtandao isipokua wametumiwa msg saa 3 uck km msg ya kumsalimia mpenzi?lissu kagoma dunia isisikilize mwenendo wa kesi yake, anaona dunia itajua ukweli wa jambo, anataka isililizwe kimyakimya ili wafuasi wake wawe kama walinzi wa kaburi la yesu watoke mbio kwenda kuwapotosha wananchi
Sijasoma sheria ila kwa kifupi tu kwenye hii kesi serikali inababaishaHivi ndivyo mambo mengi serikali hufanya. Haina watu wa kutazama mambo kwa kina wakitumia akili kubwa
Moth....F..cker!Idiot!
Mi nakwambiaMateso ya kujitakia mtu kufurahia ruksa
Wewe ni mpuuzi tu, sikulitambua tangu mwanzo. Siwezi kuzungumza na mpuuzi/mwendawazimu. Mtego wako wa matusi siuingii. Jifunze kujenga hoja.Ataiunda babako? Sudan kuna serikali imeundwa, ht shule ya msingi hukumaliza?
Wewe siku ukifa hata kunguru hawawezi kunusa mzoga wa mwili usio na pumzi. Una roho ya kishetani isiyomithilikaAlalemo 14 nyingine, kwa akili sake anaamini kisutu ina mafuriko ya watu, aaaahh wapi, yaani tuache kutafutia watoto ugali tuangaikie mnyaturu anayependa urais