PreGE2025 Tundu Lissu amegoma kesi yake kuendeshwa kwa njia ya Mtandao. Kesi yaendelea Mahakamani

PreGE2025 Tundu Lissu amegoma kesi yake kuendeshwa kwa njia ya Mtandao. Kesi yaendelea Mahakamani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Teknolojia iko juu mno sasa hivi waweza kuwa popite hospitali ,mahabusu ,mawakili wako Ulaya ,jaji yuko Marekani mahakama ikaendeshwa bila shida

Jaji aweza kuwa safari ulaya siku ya kesi anapanga muda tu atakao kuwa free mahakama inaendelea na kesi bila kusingizio cha mara ohh.lulikuwa na foleni mtuhumiwa kashindwa .kuletwa mahakamani kwa wakati au jaji yuko safar8 au ooh gari la kuleta mtuhumiwa halina mafuta au ohh wakili wa mtuhumiwa kasafiri au ana kesi zingine .Mahakama mtandao inahakikisha kesi ikipangwa hakuna upande wenye visingizio

Hakuna kitu kama hicho kesi lazima iendelee
Kwa mtandao gani boss bongo hii? Huo mtandao unaokwenda offline kila mara?
 
Sa nimegundua why waarabu huwa wanajtoa muhanga na mabomu hakika nimeingiwa na rohn ya kufa na viongoz wa serikali, mapolisi, mahakama na hata siogopi kifo kbs mniombee tu maana kungekuwa na uwezekano wa kupata mabomu pengne ningelipuka na kati ya hao nliowasema.
Unajilipua online au? Keyboard warrior
 
Una uelewa mdogo mno
Rudia kusoma hata kichwa cha habari tu nacho umeshindwa kuelewa?

Anayekataa kesi isiendeshwe wazi ni Lisu sio serikali wala polisi wala CCM
Kwani kuna shida gani akipelekwa mahakani
 
Huwezi kujua ya moyoni mwake, unaweza kumuona mtu tajiri lkn hana amani maishani kama aliyonayo mtu wa level ya chini

Maskini siku zote anajua watawala wana amani muda wote, tazama mifano yao tu utajua, muda wote wanaongea kula tu na tumbo hawana zaidi ya hicho, kutwa kababu, maharage, pilau, viazi basi, wakishiba wanakuna tumbo wanaona washapatia maisha! Umaskini ni fedheha kubwa sana, wandugu tukatae sana umaskini unatufanya tutumike hata kwa tusivyopenda kama polisisiemu hawana kabisa maamuzi yao zaidi ya kutumwa ili washibe!
 
Alalemo 14 nyingine, kwa akili sake anaamini kisutu ina mafuriko ya watu, aaaahh wapi, yaani tuache kutafutia watoto ugali tuangaikie mnyaturu anayependa urais
Wapenda haki tupo na tutaenda hadi hapo haki itapotendeka.
Kumbuka hakuna ubaya unaodumu
 
UMOJA WA KITAIFA NA MTU AMABYE HATASHIRIKI UCHAGUZI MNATUFANYA WATANZANIA WOT EMABOYA SIYO?
Wewe tulia, hakuna uchafuzi utakaofanyika bila reforms na ukifanyika lazima serikali ya umoja wa kitaifa iundwe.
 
Kwani kuna shida gani akipelekwa mahakani
Mahakama ya online pia ni mahakama halali kabisa inayopunguza gharama pia kwa waendesha mashtaka,mawakili wa pande zote wa serikali na utetezi na majaji sababu waweza endesha wakiwa maofisini kwao kwenye mafaili yote na matabu yote ya kisheria kwenye maktaba zao na ambako waweza fanya consultation wao kwa wao hapo maofisini kwao

Na ni mazingira rafiki
 
Ha
Maskini siku zote anajua watawala wana amani muda wote, tazama mifano yao tu utajua, muda wote wanaongea kula tu na tumbo hawana zaidi ya hicho, kutwa kababu, maharage, pilau, viazi basi, wakishiba wanakuna tumbo wanaona washapatia maisha! Umaskini ni fedheha kubwa sana, wandugu tukatae sana umaskini unatufanya tutumike hata kwa tusivyopenda kama polisisiemu hawana kabisa maamuzi yao zaidi ya kutumwa ili washibe!
Hakuna tajiri mpumbavu km ww unakuja kushinda humu JF, we ni yale mambwa yanaishi kwa shemeji zao
 
Back
Top Bottom