PreGE2025 Tundu Lissu amegoma kesi yake kuendeshwa kwa njia ya Mtandao. Kesi yaendelea Mahakamani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Akirudi inapigwa June 13,akigoma tena June 27.

Iyena iyena itakuwa imeanza kunoga
yaani yeye hajui kuwa anachofanyiwa ni kupotezewa muda yeye anafikiri anawakomoa kumbe anajikomoa mwenyewe
 
Alalemo 14 nyingine, kwa akili sake anaamini kisutu ina mafuriko ya watu, aaaahh wapi, yaani tuache kutafutia watoto ugali tuangaikie mnyaturu anayependa urais
Uhuru wako na siku 14 kitu gani, Mandela alikubali kukaa gerezani miaka 27 kulinda uhuru wake.
 
Safi sana..

Hawa vilaza wa polisi na mahakama walishindwa kuiweka kesi YouTube kama ile ya Gachagua ambayo ilikua live kwenye YouTube channel za TV zote maana yake aliyopo nyumbani ataangalia kama anayo TV na waliopo kazini wangeangalia kupitia vifaa vyao.


View: https://youtu.be/Hb5TB7Uyamk?si=Pv91jKBuehox60oJ
Hiyo link uchwara mwisho sidhani hata imeweza kuhimili watu 1000 sababu ya traffic kuwa kubwa

Zama za kuona watu ni wajinga zimepita.
 
Yaani hataki watu wote tushuhudie tuhuma zake zinavyowekwa hadharani nchi nzima. Braza K anapenda Kiki kuliko bongo movie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…