PreGE2025 Tundu Lissu amegoma kesi yake kuendeshwa kwa njia ya Mtandao. Kesi yaendelea Mahakamani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kashindana na risasi na akashinda, kwa akili yako ndogo unahisi hilo litamshinda?
mpe kichwa ukiwa unaandika meseji huku umelala kitandani na kumuaminisha kuwa mko mahakamani mnasubiri aletwe imekula kwenu kesi inaahirishwa hadi june 7
 
arudishwe korokoroni mpaka wakati mwingine,

siku zote analilia tektonolojia na uwazi kwenye chaguzi na mengineyo, leo ng'we ng'we hataki teknolojia tena, huyo ni useless and nonsense kabisa
Haogopi kunyongwa ataogopa korokoroni chawa? Kachukueni mabunduki sasa ndio keshagoma
 
Mnaogopa nguvu ya umma Kujua ujinga wenu

Yaan ukiona mtawala anamkimbia mtawaliwa jua nguvu zimeanza kumuishia mtawala,sasa hivi
Umma una access na mtandao, hata kwenu mchambawima mtu anafuatilia kesi
 
anajidanganya kuwa anaweza kushindana na serikali
"wananchi should be royal to the government"
"wananchi should be royal to the JUST government"

...ainisha utofauti wa hizi sentensi mbili. Ujinga hautafutwi bali tunatafuta elimu/uelewa
 
Kushindana nao kashafanya mara nyingi tu🤣🤣, kumuonea wamuomee tu ila ni itaonekana wazi wanamuonea, ila kushindana nao atashindana nao, bampa to bampa
haimsaidiii
 
Alalemo 14 nyingine, kwa akili sake anaamini kisutu ina mafuriko ya watu, aaaahh wapi, yaani tuache kutafutia watoto ugali tuangaikie mnyaturu anayependa urais
Dalili ya kulazimika kila siku kutafuta ugali nayo si dalili nzuri mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…