Tundu Lissu amesema anatarajia kurudi Tanzania Julai 28

Wakati mkijiliwaza na picha sisi tunajiandaa kumuapisha Rais Bora kabisa kwa sasa Dr. JPM.
 
Hakuna atayemchagua mtu aliyemtusi baba wa Taifa.

Tunakuomba Sana Mzee Mtei , utoe neno tena huyu mtu asipate ridhaa ya Chama kwa heshima ya Baba wa Taifa hili.
 
Tundu Lissu umesababisha mioyo ipate changamoto ujue, walikuja kwa njia moja, wanatimka kwa njia milioni mia saba, ona mwingine kafa kiwewe .
Tundu Lissu for Presidency
 
Watanzania woote wapo tayari kumchagua mh Lissu.
Hakuna atayemchagua mtu aliyemtusi baba wa Taifa.

Tunakuomba Sana Mzee Mtei , utoe neno tena huyu mtu asipate ridhaa ya Chama kwa heshima ya Baba wa Taifa hili.
 
Kila siku ni lisu kurudi. Mwaka unaisha sasa. Nyumbu bhana
 
Rais....🤣🤣

Karibu Tundu, sisi tupo tunapambana na corona.

Kumbuka kuvaa barakoa jikinge na COVID 19.
 
Haya bana mjivinjari vile Bashite hana madaraka, vinginevyo angewapiga marufuku au kuwatoa baru.
 
Silaha yetu hiyo hatoki mtu safari hii .

Jiwe jiwe jiwe huu izi jiwe baizeweyii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…