Tundu Lissu amesema anatarajia kurudi Tanzania Julai 28

Tundu Lissu amesema anatarajia kurudi Tanzania Julai 28

Bora aendelee kukaa hukohuko kuwalamba wazungu miguu, huku chama kimeshauzwa kwa Membe
Vijakazi wa Lumumba mnamuogopa sana huyu Mkombozi for nothing.

Upofu mliopigwa ni kutokuona huyu anakuja kuwakomboa na nyie dhidi ya utwana mliojengewe na Lumumba
 
Toka aanze kuahidi kurudi hii ni mara ya 5 anageresha tu
Lissu anapima upepo tu harudi ng'o
Chadema haeamtaki agombee,ACT wanamtaka Membe,labda arudi NCCR alipofukzwa
Mashetani Mkisikia Mkombozi Lissu anarudi mnajawa na hofu Kuu
 
Magufuli akiskia jina Lissu, hutetemeka na kukosa usingizi. Kumbe papa napojivuna husahau Nyangumi yupo. Lissu ndiye Joshua wa Tanzania na hakuna atakayezima ndoto yake.
 
Influenza,
Mbowe amekubali arudi sasa?
Na siku hiyo tutegeme Mlevi moja kukanyagwa kanyagwa tena?
 
Sisi tunajua tundulisu anatafutwa na mahakama kwaio ni muhalifu kwaio akifika tu tunaomba polis wafanye kazi Yao ili kutenda haki Kwan hakuna alie juu ya sheria polis mnavyo tukamata sisi pia na Wana siasa muwakamate ivyo ivyo.
 
Kwani alifanya kosa huyu mnyampaa mpaka iwe hivyo
 
Influenza,

Hapo lazima wanajiuliza “tumkamate au Tusimkamate”?😀

Anyways, huyu akitua tu nchini, political gamesmanship itabadilika papo hapo!
 
Tunaiman na jesh la polis tunaomba litende haki
Hapo wenyewe wana subiri kauli na amri kutoka juu. Halafu wanapenda sehemu kama hizi kujichukulia umaarufu ili wapandishwe vyeo.

Hii ngoma ngumu, let us wait and see.
 
Back
Top Bottom