ArtificialIntelligence
JF-Expert Member
- May 22, 2020
- 377
- 734
Wewe umehoji kama nani?Makamu mwenyekiti wa CHADEMA ambaye ndio mgombea urais wa JMT wa chama hicho mh Tundu Lissu amewahoji wafanyabiashara wa pembejeo sokoni kariakoo namna wanavyolipa kodi zao TRA.
Lissu alitaka pia kujua kama wafanyabiashara wana uelewa wa usahihi wa kodi wanayolipa.
Source ITV habari.
My take; Tundu Lisu amewahoji wafanyabiashara akiwa kama nani?
Maendeleo hayana vyama!
Hayo mambo ya kugombea viti yapo ccm lisu anawania Uraisisasa mbna mnatuchanganya! anagombea kitic cha uraisi ama anataka kufungua biashara kariakoo
Umesahau tukukumbushe Lissu ni nani?Makamu mwenyekiti wa CHADEMA ambaye ndio mgombea urais wa JMT wa chama hicho mh Tundu Lissu amewahoji wafanyabiashara wa pembejeo sokoni kariakoo namna wanavyolipa kodi zao TRA.
Lissu alitaka pia kujua kama wafanyabiashara wana uelewa wa usahihi wa kodi wanayolipa.
Source ITV habari.
My take; Tundu Lisu amewahoji wafanyabiashara akiwa kama nani?
Maendeleo hayana vyama!
Swali lake lina ladha ya asali, lakini jibu lako ni ukakasi usio na tija.Tunataka kizazi Cha kuhoji. Tundu Lissu kaonyesha njia.
MAGUFULI anataka kutuziba mdomo, anunue ndege Kama karanga tusiulize kwanini Hilo Jambo halikupitia bungeni.
Mnataka tuwe MAZEZETA Kama mlivyo wa CHAMA CHA MAZEZETA?
Mataga mnajiona hii nchi ni ya mama. Zenu eee?Makamu mwenyekiti wa CHADEMA ambaye ndio mgombea urais wa JMT wa chama hicho mh Tundu Lissu amewahoji wafanyabiashara wa pembejeo sokoni kariakoo namna wanavyolipa kodi zao TRA.
Lissu alitaka pia kujua kama wafanyabiashara wana uelewa wa usahihi wa kodi wanayolipa.
Source ITV habari.
My take; Tundu Lisu amewahoji wafanyabiashara akiwa kama nani?
Maendeleo hayana vyama!
Shubiri chungu lakini tiba, wacha dawa iwaingieSwali lake lina ladha ya asali, lakini jibu lako ni ukakasi usio na tija.
Hata mimi huwahoji wafanyabiashara jinsi wanavyolipa kodi ili nijue, nawe ukitaka nenda ofisi za TRA utapata maelezo ya jinsi unavyolipa kodi, hakuna kosa hapo ungependa liwepo.Makamu mwenyekiti wa CHADEMA ambaye ndio mgombea urais wa JMT wa chama hicho mh Tundu Lissu amewahoji wafanyabiashara wa pembejeo sokoni kariakoo namna wanavyolipa kodi zao TRA.
Lissu alitaka pia kujua kama wafanyabiashara wana uelewa wa usahihi wa kodi wanayolipa.
Source ITV habari.
My take; Tundu Lisu amewahoji wafanyabiashara akiwa kama nani?
Maendeleo hayana vyama!
Kama mtafiti. Huwezi kutafuta suluhisho la tatizo bila kulijua tatizo kwa undani. Siyo kama jiwe anatengeneza tatizo halafu analitatua. Angalia tatizo la Ualimu wa Cheti. Jiwe anakurupuka sana.Makamu mwenyekiti wa CHADEMA ambaye ndio mgombea urais wa JMT wa chama hicho mh Tundu Lissu amewahoji wafanyabiashara wa pembejeo sokoni kariakoo namna wanavyolipa kodi zao TRA.
Lissu alitaka pia kujua kama wafanyabiashara wana uelewa wa usahihi wa kodi wanayolipa.
Source ITV habari.
My take; Tundu Lisu amewahoji wafanyabiashara akiwa kama nani?
Maendeleo hayana vyama!
Watu acheni unafiki,nyie ndo jamii ile isiyopenda haki,hukumu yenyewe inalengo la kumbeba mpinzani wake.Mbali na madhila yote mliyompitisha bado mnatamani kuona akiendelea kuteseka.Kwa bahati yenu mbaya ni kuwa pamoja na roho zenu mbaya mnaenda kuondoka hivi karibuni.Mwanasheria anayetaka viongozi wa nchi wafuate sheria ila yeye hafuati hii ni ishara mbaya. Mtu mmoja akipewa hukumu ya kuiba akafungwa kama mlinzi wa geti mnataka kusema endapo alikuwa mchungaji itabidi atoke gerezani kwa cheo cha uchungaji akahubiri? Ila hii nchi ina kazi watu hadi wafikiri mambo vyema tunahitaji 100yrs.
Ruzuku mnazo singizia kutumika vibaya matunda take ndio yanafanya mnamwogopa mnaye msingizia,viongozi wenzake,wanachama wao na hats Sasa mnaviogopa hats vivuli vyenu wenyewe.Alishawahi kuhoji wizi wa billion 8 za michango ya wabunge wa Chadema?
Kwani Husein Mwinyi anawahoji wa Zanzibar nyumba kwa nyumba akiwa kama nani, hapo ndipo ulipoishia uwezo wako wa kufikili.Makamu mwenyekiti wa CHADEMA ambaye ndio mgombea urais wa JMT wa chama hicho mh Tundu Lissu amewahoji wafanyabiashara wa pembejeo sokoni kariakoo namna wanavyolipa kodi zao TRA.
Lissu alitaka pia kujua kama wafanyabiashara wana uelewa wa usahihi wa kodi wanayolipa.
Source ITV habari.
My take; Tundu Lisu amewahoji wafanyabiashara akiwa kama nani?
Maendeleo hayana vyama!
Walikosea sababu haikuwa mpango wa Mungu kama ilivyokosewa kwa yai lililotunga mimba ya stakehigh pale kwenye mkesha wa mbio za mwenge baada ya condom kukosekana.nashangaa wasiojulikana walikosea nn kwenye yale maelezo
Shubiri ina tija, ila ukakasi huo hauna tija.Shubiri chungu lakini tiba, wacha dawa iwaingie
Sera za CHADEMA bado zina andaliwa tu! Kumbe ndiyo maana hawana cha kunadi!kama makamu mwenyekiti wa chadema na pia kama mmoja wa wanaoandaa sera za chadema
Ni heri baba yako angekuflash chooni tu kwa master B.Makamu mwenyekiti wa CHADEMA ambaye ndio mgombea urais wa JMT wa chama hicho mh Tundu Lissu amewahoji wafanyabiashara wa pembejeo sokoni kariakoo namna wanavyolipa kodi zao TRA.
Lissu alitaka pia kujua kama wafanyabiashara wana uelewa wa usahihi wa kodi wanayolipa.
Source ITV habari.
My take; Tundu Lisu amewahoji wafanyabiashara akiwa kama nani?
Maendeleo hayana vyama!
anza na kuokota makopo majalalani kabisa kabla ya october 30sasa mbna mnatuchanganya! anagombea kitic cha uraisi ama anataka kufungua biashara kariakoo