Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amewasilisha barua kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA kuomba kuteuliwa kugombea Urais wa Tanzania

Sema CCM, isije muundia mizengwe, hawaelewekagi
 
Ndio mlinde kura kama lowasa
Mkuu, anzia hapa kuachana na huo msemo wa "Tume Huru."

"Tume Huru" ni wananchi wenyewe; kama ilivyo polisi na mengineyo.
 
Atasimama au atashikiliwa maana kusimama wima tu hawezi
Hii kauli ya hovyo kabisa, kwa hiyo unataka kudharau walemavu kwamba kwa kuwa baadhi hawawezi kusimama hivyo hawaruhusiwi?
7000 bhana na ndiyo maana posho zenu buku7 hazipandishwi kwa sababu hamjui kujenga hoja
 
Hakuna cha barua hapa tunajadili tu mkimuuliza mtoa mada kuhusu barua utataka afute uzi
Kaja lini tz, au barua ametuma kwa Fedex/ DHL.
Ngoja nisubilie taarifa sahihi kutoka watu wa lumumba na ufipa
 
Hahaha rais mazima awe physically fit
Hii kauli ya hovyo kabisa, kwa hiyo unataka kudharau walemavu kwamba kwa kuwa baadhi hawawezi kusimama hivyo hawaruhusiwi?
7000 bhana na ndiyo maana posho zenu buku7 hazipandishwi kwa sababu hamjui kujenga hoja
 
Logically hakuna mgombea yeyeto wa Chadema ambaye angeleta msisimko kuliko Tundu lissu ukizingatia na matukio ya huko nyuma... Huu ni mtego mbaya sana kwa serikali huyu bwana anaviporo vya kesi nyingi tu huku nyumbani atarudi watu watataka akivimalizie ILIAPATE PAKUSHIKA ... lakini kwenye swala la kushinda hana nafasi ... serikali ina wakati mgumu mana huyu bwana amejaa visasi na yuko tayari kwa lolote ilimradi adhima yake itimie ( Bloodthirsty) ... mamlaka inatakiwa i play safe card la sivyo hashindwi kuja na ma mercenaries ( military contractors $
 
Hiyo nafasi ya kugombea uraisi ingekuwa dili hapo CHADEMA Mbowe asingemuachia mtu yoyote

2015 aliuza mwaka hu wateja hamna ndio maana hiyo nafasi ameipotezea
 
Mambo mabaya kiaje huyu lisu ashinde urais itakuwa aibu kwa taifa
Unajua brother, Kuna watu waliona aibu kutawaliwa na Baba wa Taifa, na wengine Mwinyi, n.k. Bado Kuna wasiona ubora wa huyu aloyepo. Lakini kwakuwa wananchi waliamu, tuakubali kilicho amuliwa. Wewe aibu unayoiona kwa Lisu wengine hawaioni? Unajua pia kuwa watu wengine wanajiuliza mkeo alikupendea Nini? Wanaona aibu. Lakini mkeo anajua ubora wako. Waache wana wa nchi hiii waamue hatima ya usiyempenda!
 
Logically hakuna mgombea yeyeto wa Chadema ambaye angeleta msisimko kuliko Tundu lissu ukizingatia na matukio ya huko nyuma... Huu ni mtego mbaya sana kwa serikali huyu bwana anaviporo vya kesi nyingi tu huku nyumbani atarudi watu watataka akivimalizie ILIAPATE PAKUSHIKA ... lakini kwenye swala la kushinda hana nafasi ... serikali ina wakati mgumu mana huyu bwana amejaa visasi na yuko tayari kwa lolote ilimradi adhima yake itimie ( Bloodthirsty) ... mamlaka inatakiwa i play safe card la sivyo hashindwi kuja na ma mercenaries ( military contractors $
Wananchi wataamua wanamtaka nani, tungependa tume itende haki.pia ikiwezekana uandaliwe mdahalo Wa kiingereza kwa wagombea wote Wa urais.
 
Mtalinda tena kama mlivyolinda za lowasa
Wananchi wataamua wanamtaka nani, tungependa tume itende haki.pia ikiwezekana uandaliwe mdahalo Wa kiingereza kwa wagombea wote Wa urais.
 
Kushinda hawezi kushinda shida huyu bwana si rahisi kukubali kushindwa je amejiandaaje?
 
Back
Top Bottom