Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama jpm aliupata urais sembuse lissu?
Mkuu, anzia hapa kuachana na huo msemo wa "Tume Huru."
"Tume Huru" ni wananchi wenyewe; kama ilivyo polisi na mengineyo.
Hii kauli ya hovyo kabisa, kwa hiyo unataka kudharau walemavu kwamba kwa kuwa baadhi hawawezi kusimama hivyo hawaruhusiwi?Atasimama au atashikiliwa maana kusimama wima tu hawezi
Kaja lini tz, au barua ametuma kwa Fedex/ DHL.
Ngoja nisubilie taarifa sahihi kutoka watu wa lumumba na ufipa
Hii kauli ya hovyo kabisa, kwa hiyo unataka kudharau walemavu kwamba kwa kuwa baadhi hawawezi kusimama hivyo hawaruhusiwi?
7000 bhana na ndiyo maana posho zenu buku7 hazipandishwi kwa sababu hamjui kujenga hoja
Haahaa vyombo vya dola viko hoi kusikia Chumaa kinataka kupambana na boss waoLisu anategeme kura za huruma kama mlemvu wa kuomba pesa pale ubungo stand
Kwani jpm yuko physically fit?Hahaha rais mazima awe physically fit
Alikimbiaje hiyo dhamana wakati alikuwa anaumwa?Akitua tu bongo pingu maana alikimbia dhamana
Unajua brother, Kuna watu waliona aibu kutawaliwa na Baba wa Taifa, na wengine Mwinyi, n.k. Bado Kuna wasiona ubora wa huyu aloyepo. Lakini kwakuwa wananchi waliamu, tuakubali kilicho amuliwa. Wewe aibu unayoiona kwa Lisu wengine hawaioni? Unajua pia kuwa watu wengine wanajiuliza mkeo alikupendea Nini? Wanaona aibu. Lakini mkeo anajua ubora wako. Waache wana wa nchi hiii waamue hatima ya usiyempenda!Mambo mabaya kiaje huyu lisu ashinde urais itakuwa aibu kwa taifa
Haahaa vyombo vya dola viko hoi kusikia Chumaa kinataka kupambana na boss wao
Wananchi wataamua wanamtaka nani, tungependa tume itende haki.pia ikiwezekana uandaliwe mdahalo Wa kiingereza kwa wagombea wote Wa urais.Logically hakuna mgombea yeyeto wa Chadema ambaye angeleta msisimko kuliko Tundu lissu ukizingatia na matukio ya huko nyuma... Huu ni mtego mbaya sana kwa serikali huyu bwana anaviporo vya kesi nyingi tu huku nyumbani atarudi watu watataka akivimalizie ILIAPATE PAKUSHIKA ... lakini kwenye swala la kushinda hana nafasi ... serikali ina wakati mgumu mana huyu bwana amejaa visasi na yuko tayari kwa lolote ilimradi adhima yake itimie ( Bloodthirsty) ... mamlaka inatakiwa i play safe card la sivyo hashindwi kuja na ma mercenaries ( military contractors $
Alionekana nchi nyingine akitalii badala ya kurudi kisutu kusikiliza hukumu yakeAlikimbiaje hiyo dhamana wakati alikuwa anaumwa?
Haahaa lowasa yule domo zege?Alimshinda lowasa itakuwa Tundu
Wananchi wataamua wanamtaka nani, tungependa tume itende haki.pia ikiwezekana uandaliwe mdahalo Wa kiingereza kwa wagombea wote Wa urais.