Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amewasilisha barua kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA kuomba kuteuliwa kugombea Urais wa Tanzania

Angetumia huu muda kujiimarisha zaidi kwa ajili ya 2025 kwa sasa sidhani.
 
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba yule mtu aliyesubiriwa kwa hamu na Watanzania , ameanza ule mchakato muhimu .

View attachment 1468548

Taarifa zinaonyesha kwamba maombi ya watanzania yamejibiwa baada ya Mh Lissu kuandika barua kwenye chama chake akiomba kufikiriwa kwenye uteuzi wa kugombea Urais wa Tanzania kwenye uchaguzi utakaopigwa octoba 2020 .

Siku yoyote kuanzia sasa ataongea na Wananchi moja kwa moja .
Haya mahakimu jiandae Meko azima awapigie simu muanze kukandamiza
 
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba yule mtu aliyesubiriwa kwa hamu na Watanzania , ameanza ule mchakato muhimu .

View attachment 1468548

Taarifa zinaonyesha kwamba maombi ya watanzania yamejibiwa baada ya Mh Lissu kuandika barua kwenye chama chake akiomba kufikiriwa kwenye uteuzi wa kugombea Urais wa Tanzania kwenye uchaguzi utakaopigwa octoba 2020 .

Siku yoyote kuanzia sasa ataongea na Wananchi moja kwa moja .
Tayari mmemnunulia bukta kwa ajili ya kumnadi!?
 
Lissu aache tamaa ya madaraka, ataongozaje nchi na huo ulemavu?

Wachaga wanamtumia kama walivyowatumia kina Silinde, Lijualikali, Prof Safari, Lwakatare.
Mkuu nchi imeongozwa na mtu mwenye ulemavu wa akili for 5 good years na ikaenda sembuse mlemavu wa viungo tu
 
Back
Top Bottom