LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Lengo amwanike hadharani jpmBora angeendelea na shughuli zake zingine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lengo amwanike hadharani jpmBora angeendelea na shughuli zake zingine.
Tatizo una uelewa finyu sana, pili hauna/umefilisika hojaLissu aache tamaa ya madaraka, ataongozaje nchi na huo ulemavu?
Wachaga wanamtumia kama walivyowatumia kina Silinde, Lijualikali, Prof Safari, Lwakatare.
Kwenye Jumba la Nyarandu!Ataongea moja kwa moja kutokea wapi bwashee?!
Hana shugli za kufanyaBora angeendelea na shughuli zake zingine.
Leo umepaaaaaanic!?Kura ni siri hata mkeo atakushangaa kumlazimisha ampigie tundu na chama chenu kinajiita cha demokrasia
Hapo alipo mavi yanapita njia mbili ''FESTULA"!!Lisu ni unfit hawezi kuwa amiri jeshi mkuu ,atakagua gwalide anachechemea na kukata viono
Hilo ndio tumaini la wenye hilaAkitua tu bongo pingu maana alikimbia dhamana
Tatizo una uelewa finyu sana, pili hauna/umefilisika hoja
Povu la alokaukiwa hojaHapo alipo mavi yanapita njia mbili ''FESTULA"!!
Wajinga sana hawa watu sijui wanafikiria kwa kutumia nn maana hata akili ya kawaida haiwezi kufikiria hiviSasa aibu ya Lissu uione wewe si ndiyo uwenda wazimu huo
Asijisumbue kwa sababu KATIBA hairuhusu jinsia moja kupigana denda!Angetumia huu muda kujiimarisha zaidi kwa ajili ya 2025 kwa sasa sidhani.
Kama Jiwe lilivyo ajabu la duniaMaajabu hayatoisha. Lissu awe rais....! Hahaaa aisee! Linaweza kuwa ajabu jingine la Dunia.
Hakupata usingizi na wapo weeengiUmeiandika kinyonge kuliko siku zote - kama vile umepanic hivi!!!!
Haya mahakimu jiandae Meko azima awapigie simu muanze kukandamizaKuwa wa kwanza kufahamu kwamba yule mtu aliyesubiriwa kwa hamu na Watanzania , ameanza ule mchakato muhimu .
View attachment 1468548
Taarifa zinaonyesha kwamba maombi ya watanzania yamejibiwa baada ya Mh Lissu kuandika barua kwenye chama chake akiomba kufikiriwa kwenye uteuzi wa kugombea Urais wa Tanzania kwenye uchaguzi utakaopigwa octoba 2020 .
Siku yoyote kuanzia sasa ataongea na Wananchi moja kwa moja .
PisimekaJpm sio mlemavu!
Tayari mmemnunulia bukta kwa ajili ya kumnadi!?Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba yule mtu aliyesubiriwa kwa hamu na Watanzania , ameanza ule mchakato muhimu .
View attachment 1468548
Taarifa zinaonyesha kwamba maombi ya watanzania yamejibiwa baada ya Mh Lissu kuandika barua kwenye chama chake akiomba kufikiriwa kwenye uteuzi wa kugombea Urais wa Tanzania kwenye uchaguzi utakaopigwa octoba 2020 .
Siku yoyote kuanzia sasa ataongea na Wananchi moja kwa moja .
Mkuu nchi imeongozwa na mtu mwenye ulemavu wa akili for 5 good years na ikaenda sembuse mlemavu wa viungo tuLissu aache tamaa ya madaraka, ataongozaje nchi na huo ulemavu?
Wachaga wanamtumia kama walivyowatumia kina Silinde, Lijualikali, Prof Safari, Lwakatare.
Pole ndg ushetani umekujaa, wahitaji kuongozwa kwenye sala ya toba. AmenLisu kipitisha hora ya ndoa ya jinsia moja nitakutafuta nikuoea