Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amjibu Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu karipio la kuongeza ubeti kwenye Wimbo wa Taifa

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amjibu Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu karipio la kuongeza ubeti kwenye Wimbo wa Taifa

MLISHINDWA KWA LOWASSÀ

SAHAUNII HATA UBUNGE MWAKA HUU
WAHUNI ATUPELEKI TENA DODOMA
TUNAANZA NA MBEYA ...MJINI ARUSHA MJINI NA KULE MOROGORO NDIO MTAELEWA HATA WAKUBWA ZENU AWATOKANYAGA BUNHENI
 
Kama hawavunji sheria,tatizo liko wapi?
Ni kujiepusha na figisu tu.. Kama inatambulika hadi mahakama na NEC ni zao sasa kwanini zifanyike blunder za kitoto hivyo??

Au mnafikiri figisu zikifanywa kuna beberu atakayekuja kuwakingia kifua?? Au mnadhani raia wataingia barabarani kama wale wa Malawi??
 
Mwacheni Lisu aendelee kujiingiza kwenye mdomo wa mamba atapata anachokitaka!
 
Wanaujua vzr uwezo wake wa kujenga hoja na kupangilia maneno, ukiwaweka jukwaa moja na mh, lazima mheshimiwa aombe maji ya kunywa!
Yaani napitia nyuzi humu jf naona kama watu(wanaoitwa MATAGA) wanatafutana kisa lissu ..Dah...kweli wanasema mfa maji haishi kutapatapa
 
Ngoja ampeleke fomu yake tume ya uchaguzi, ndiyo atajua nini maana ya uzalendo kwa taifa
 
Tulieni dawa iingie.
Mkuu hakuna Daiwa inayoingia wala kutoka, this is too much, ikiwa utaendelea hivi, atakuwa ana erode popularity yake. Huu ni wakati wa kutulia, kutafakari na kuzidisha juhudi. Aache kiburi na ajaribu kuvuna kura za wengi wasio chadema.
 
Exactly!

Kama Mutungi ameyakuza, basi Lissu kayakuza zaidi.

Mambo mengine ni ya ku ignore tu.

Lissu alenge katika kuendesha kampeni yake. Haya mambo mengine madogo madogo awaachie surrogates.
Lisu hayo yeye hawezi! Unqvyoona akili za akina Mmawia wa hapa jf ndio na lisu nae yuko hivyohivyo yani anataka ajibu kila kitu ili kuonesha ameshinda!

Ndio shida ya kujiona anajua kila kitu.
 
Lisu hayo yeye hawezi! Unqvyoona akili za akina Mmawia wa hapa jf ndio na lisu nae yuko hivyohivyo yani anataka ajibu kila kitu ili kuonesha ameshinda!

Ndio shida ya kujiona anajua kila kitu.
Mtu anagombea urais! Badala awe bize na mambo makubwa makubwa, yeye anahangaika na Mutungi.

He can’t be serious
 
Jinga kabisa wewe, huu ndio muda wa siasa, kwa miaka miaka mitano Tanzania hakukuwa na siasa, Sasa Mutungi amebeeb acha apigiwe, hatutaki Taifa la makondoo.
Mkuu mbona hiyo miaka mitano yote ulikubali kuwa kondoo??
 
Back
Top Bottom