Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kujiepusha na figisu tu.. Kama inatambulika hadi mahakama na NEC ni zao sasa kwanini zifanyike blunder za kitoto hivyo??Kama hawavunji sheria,tatizo liko wapi?
Wamefanya kosa gani kuimba? Mbona mnashabikia ukandamizaji na kufumbwa midomo?Wakati mwingine Chadema nao wanatafuta shari ambazo zinaweza kabisa kudhibitika..
Kwani wasingeimba hivyo walivyoimba wangepungukiwa nini?? Au ndio kujua washashindwa so wanatafuta sababu tu
Wanaujua vzr uwezo wake wa kujenga hoja na kupangilia maneno, ukiwaweka jukwaa moja na mh, lazima mheshimiwa aombe maji ya kunywa!Tukiacha unafiki asee ccm wanamhofia lissu balaa.hakika tutaona mengi.
Mutungi je?Huyu Lissu amekuwa kama mwanamke siku hizi
Yaani napitia nyuzi humu jf naona kama watu(wanaoitwa MATAGA) wanatafutana kisa lissu ..Dah...kweli wanasema mfa maji haishi kutapatapaWanaujua vzr uwezo wake wa kujenga hoja na kupangilia maneno, ukiwaweka jukwaa moja na mh, lazima mheshimiwa aombe maji ya kunywa!
Jifariji tu nduguMwacheni Lisu aendelee kujiingiza kwenye mdomo wa mamba atapata anachokitaka!
Na wamepata nini kwa kuimba hivyo?? Kwani wasingeimba hivyo wangepungukiwa nini??Wamefanya kosa gani kuimba? Mbona mnashabikia ukandamizaji na kufumbwa midomo?
Vv
Mkuu hakuna Daiwa inayoingia wala kutoka, this is too much, ikiwa utaendelea hivi, atakuwa ana erode popularity yake. Huu ni wakati wa kutulia, kutafakari na kuzidisha juhudi. Aache kiburi na ajaribu kuvuna kura za wengi wasio chadema.Tulieni dawa iingie.
Lisu hayo yeye hawezi! Unqvyoona akili za akina Mmawia wa hapa jf ndio na lisu nae yuko hivyohivyo yani anataka ajibu kila kitu ili kuonesha ameshinda!Exactly!
Kama Mutungi ameyakuza, basi Lissu kayakuza zaidi.
Mambo mengine ni ya ku ignore tu.
Lissu alenge katika kuendesha kampeni yake. Haya mambo mengine madogo madogo awaachie surrogates.
Kijani MNA tabu,,,mnafichaga akili matakoniHuyo Lissu naye apunguze kiherehere...
Mtu anagombea urais! Badala awe bize na mambo makubwa makubwa, yeye anahangaika na Mutungi.Lisu hayo yeye hawezi! Unqvyoona akili za akina Mmawia wa hapa jf ndio na lisu nae yuko hivyohivyo yani anataka ajibu kila kitu ili kuonesha ameshinda!
Ndio shida ya kujiona anajua kila kitu.
Alipokutana na wale jamaa ndio mambo yalipoharibikaHuyu Lissu amekuwa kama mwanamke siku hizi
Mkuu mbona hiyo miaka mitano yote ulikubali kuwa kondoo??Jinga kabisa wewe, huu ndio muda wa siasa, kwa miaka miaka mitano Tanzania hakukuwa na siasa, Sasa Mutungi amebeeb acha apigiwe, hatutaki Taifa la makondoo.