Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amjibu Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu karipio la kuongeza ubeti kwenye Wimbo wa Taifa

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amjibu Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu karipio la kuongeza ubeti kwenye Wimbo wa Taifa

Huyo Lissu naye apunguze kiherehere...
Nafikiri Mutungi ndio kachemka. Hakutakiwa kwenda kwenye media kutoa vitisho. Yeye kama mlezi wa vyama alitakiwa kuwaandikia chadema kuwaeleza mashtaka yao na wao Chadema kujibu mashtaka yao. Tabia ya mambo kama haya kuyapeleka mitandaoni hasa yanayoihusu Chadema Ofisi ya Mutungi imekuwa ikiifanya sana. Kunanbarua fulani ambayo ilizagaa sana mitandaoni iliyotoka kwa Msajili ambayo Chadema kupitia Mnyika waliwahi kulalamika kuwa ilianza kuzagaa hatankabla wao hawajaipokea. Barua nyingine ilikuwa ya hivi karibuni iliyozua malumbano kati ya Msajili na Ado Shaibu kwa niaba ya ACT.

Kwa sasa tension ya kisiasa ipo juu sana. Msajili kama mlezi wa vyama atumie njia za kitaalam na za kiuungwana kushughulikia mambo kuliko kuendelea kutumia Media kujifanya anaonya wakati pengine anafanya kazi ya chama fulani cha siasa kwa mgongo wa MSAJILI
 
CDM na nyie acheni ujinga Kuna haja gani ya kuongeza ubeti mwingine kwenye wimbo wa taifa,mnapenda kujitaftia matatizo yasiyo na kichwa Wala miguu.
 
Kuna watu wanatafuta visingizio ili waguswe wajidondoshe waseme

wamechezewa rafu au wameonewa,wamekaa kujitegesha tegesha tu
 
Wanaujua vzr uwezo wake wa kujenga hoja na kupangilia maneno, ukiwaweka jukwaa moja na mh, lazima mheshimiwa aombe maji ya kunywa!
Hahah ndio maana wameanza kujitetea mapemaaaa eti hatutaki kampeni zenye lugha yenye maudhi au mtu atakayeponda miradi ya serikali.
 
CDM na nyie acheni ujinga Kuna haja gani ya kuongeza ubeti mwingine kwenye wimbo wa taifa,mnapenda kujitaftia matatizo yasiyo na kichwa Wala miguu.
Kanuni ya adhabu inatamka ni matatizo gani mtu atayapata kwa kuongeza ubeti kwenye wimbo wa Taifa? Ni vema tukapata elimu ya Uraia katika hili mkuu
 
Lissu kujua loopholes za kisheria hakukufanyi uvunje sheria kwa Makusudi ... unatukana askari polisi ... unatukana mahakimu... unamtukana rais ... hujui kula na vipofu ... Uchaguzi huu ndio utakua Uchaguzi wako wa mwisho kabisa
 
Huyo Lissu naye apunguze kiherehere...
Instagram media - CDeBdaNJf1T ( 643 X 640 ).jpg
 
Mwambieni Msajili wa Vyama vya Siasa akasome Sheria ya Nembo za Taifa ya 1971 ili ajiridhishe kama Wimbo wa Taifa ni mojawapo ya Nembo za Taifa zinazolindwa kisheria kabla hajatoa vitisho vya bure kama hivi. Ataje Sheria iliyovunjwa, kama ipo, kabla hajatoa kauli za aina hii. - Tundu Lissu

Huyu mgombea urais wenu awe subra. Haina haja ya kujibu vitu ambavyo vitampunguzia umaarufu
 
Mtu anagombea urais! Badala awe bize na mambo makubwa makubwa, yeye anahangaika na Mutungi.

He can’t be serious
Mkwara wa Mutungi sio wa kuunyamazia hata kidogo. Utaratibu ule ule alioutumia kutoa mkwara wake anatakiwa ajibiwe vile vile . Lissu kama mwanasheria amemsaidia Mutungi elimu zaidi ya Uraia
 
Kazi ya mutungi ni kuhifadhi maji ili yawe baridi na si vingine.

Huyo jaji wenu mutungi mwambie afie mbele.
 
Back
Top Bottom