Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amjibu Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu karipio la kuongeza ubeti kwenye Wimbo wa Taifa

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amjibu Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu karipio la kuongeza ubeti kwenye Wimbo wa Taifa

Mwambieni Msajili wa Vyama vya Siasa akasome Sheria ya Nembo za Taifa ya 1971 ili ajiridhishe kama Wimbo wa Taifa ni mojawapo ya Nembo za Taifa zinazolindwa kisheria kabla hajatoa vitisho vya bure kama hivi. Ataje Sheria iliyovunjwa, kama ipo, kabla hajatoa kauli za aina hii. - Tundu Lissu

Huyo Mutungi ndie Jaji ambae hata sheria za nchi hazijui. Tukisema kapewa ujaji kwa vile hupendelea Ccm itakuwa ni makosa?
 
Duh
Msajili kaweka nondo,lissu kaweka lichuma.
 
..but Mutungi fired first.

..huyu Msajili hana kazi za kufanya ndiyo maana anashughulika na mambo madogo-madogo.

Busara, na uungwana usipotamalaki mamluki na vichaa ambao ni makuadi wa mabeberu watazidi kuyumbisha mustakabali wa taifa.... Watajitahidi kurubuni watu lakini hawatafanikiwa!
 
Kanuni ya adhabu inatamka ni matatizo gani mtu atayapata kwa kuongeza ubeti kwenye wimbo wa Taifa? Ni vema tukapata elimu ya Uraia katika hili mkuu
Kwahiyo Chadema wameufanyia Remix wimbo wa Taifa? Maana mpaka Sasa sielewi.
 
Mkuu Lisu is not a presidential material Lisu allways hu concentrate kwenye petty issues!!

Serious chadema wamechemka mno kumpa post ya Ugombea uraisi

Lisu is too low Anafaa kuwa mwenyekiti wa kamati za majungu na umbeya uswahilini sio mgombea uraisi
Kama Chadema wamechemka CCM si ndio inapaswa kufurahi? Ni kwa Nini CCM iweweseke wakati imewekewa mgombea mwepesi? Washauri wa Makonda mna matatizo Sana.
 
Alipokutana na wale jamaa ndio mambo yalipoharibika
Nakuonaa
FB_IMG_1596551643127.jpg
 
Huyo Lissu naye apunguze kiherehere...
Ungeonekana wa maana angalau kidoogooo kama ungehoji weredi wa Jaji wetu huyu ambaye amakuwa akitoa "maboko" mara kwa mara. Amewaaibisha watani zangu wa Bukoba "big time"...hivi huyu ni Jaji kwa cheo au jina naomba msaada.
 
Siasa ni sanaa
Chadema wanahaha kutafuta media attention kila Kona wakaamua hata waongeze beti wimbo wa taifa wapate walau media attention

Sababu kila wanachofanya media zimewabania kimya Sasa wanatumia vituko walau waandikwe
 
Ungeonekana wa maana angalau kidoogooo kama ungehoji weredi wa Jaji wetu huyu ambaye amakuwa akitoa "maboko" mara kwa mara. Amewahaibisha wataniu zangu big time...hivi huyu ni Jaji kwa cheo au jina naomba msaada.
Ulijifunza wapi kuandika wewe?
 
Back
Top Bottom