kamili
JF-Expert Member
- Feb 10, 2011
- 1,217
- 853
Uwepo wa Lissu mwaka huu mtakondaHuyo Lissu naye apunguze kiherehere...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwepo wa Lissu mwaka huu mtakondaHuyo Lissu naye apunguze kiherehere...
Kwa nini usimwambie Jaji asipuuze tu issue hiyo ya kuongeza ubeti?Sasa huyo Lissu si angempuuza tu huyo jaji...
Lissu naye kama Trump tu.
Hapo wa kupunguza kiherehere ni nani kama sio Msajili?Huyo Lissu naye apunguze kiherehere...
Atampuuzaje wakati alichosema jaji ni 'ONYO"?Sasa huyo Lissu si angempuuza tu huyo jaji...
Lissu naye kama Trump tu.
Huyo Mutungi ndie Jaji ambae hata sheria za nchi hazijui. Tukisema kapewa ujaji kwa vile hupendelea Ccm itakuwa ni makosa?Mwambieni Msajili wa Vyama vya Siasa akasome Sheria ya Nembo za Taifa ya 1971 ili ajiridhishe kama Wimbo wa Taifa ni mojawapo ya Nembo za Taifa zinazolindwa kisheria kabla hajatoa vitisho vya bure kama hivi. Ataje Sheria iliyovunjwa, kama ipo, kabla hajatoa kauli za aina hii. - Tundu Lissu
Hivi wewe kichwani kuko sawa kweli?!So? Kwa hiyo Mutungi akiwa wa kwanza kula kinyesi Lissu naye ataiga?
Sasa kama ni madogo kwa nini mgombea wenu anahangaika nayo?
..but Mutungi fired first.
..huyu Msajili hana kazi za kufanya ndiyo maana anashughulika na mambo madogo-madogo.
🖕🏿Acha ushamba wa kabila lako
Kwahiyo Chadema wameufanyia Remix wimbo wa Taifa? Maana mpaka Sasa sielewi.Kanuni ya adhabu inatamka ni matatizo gani mtu atayapata kwa kuongeza ubeti kwenye wimbo wa Taifa? Ni vema tukapata elimu ya Uraia katika hili mkuu
Ndio huo ushamba ninaouzungumzia. Enzi za kuvaa raba kubwa na shati la draft
Kama Chadema wamechemka CCM si ndio inapaswa kufurahi? Ni kwa Nini CCM iweweseke wakati imewekewa mgombea mwepesi? Washauri wa Makonda mna matatizo Sana.Mkuu Lisu is not a presidential material Lisu allways hu concentrate kwenye petty issues!!
Serious chadema wamechemka mno kumpa post ya Ugombea uraisi
Lisu is too low Anafaa kuwa mwenyekiti wa kamati za majungu na umbeya uswahilini sio mgombea uraisi
DuhNdio huo ushamba ninaouzungumzia. Enzi za kuvaa raba kubwa na shati la draft
NakuonaaAlipokutana na wale jamaa ndio mambo yalipoharibika
NakuonaaMkuu mbona hiyo miaka mitano yote ulikubali kuwa kondoo??
Ungeonekana wa maana angalau kidoogooo kama ungehoji weredi wa Jaji wetu huyu ambaye amakuwa akitoa "maboko" mara kwa mara. Amewaaibisha watani zangu wa Bukoba "big time"...hivi huyu ni Jaji kwa cheo au jina naomba msaada.Huyo Lissu naye apunguze kiherehere...
Chadema wanahaha kutafuta media attention kila Kona wakaamua hata waongeze beti wimbo wa taifa wapate walau media attention
Sababu kila wanachofanya media zimewabania kimya Sasa wanatumia vituko walau waandikwe
Ulijifunza wapi kuandika wewe?Ungeonekana wa maana angalau kidoogooo kama ungehoji weredi wa Jaji wetu huyu ambaye amakuwa akitoa "maboko" mara kwa mara. Amewahaibisha wataniu zangu big time...hivi huyu ni Jaji kwa cheo au jina naomba msaada.