Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hapana. Anastahili. Ni mtu ninayemfahamu.
ni kweli kabisa, mnyika bado anafaa sana kuendelea kuwepo kwenye top management
Tungeenda na Lema, Mnyika kafanya kazi nzuri ila ilifaa apumzike kwanza.
mnyika bado anafaa sana, hata kabla ya uteuzi huu mimi binafsi nilitoa comment humu mtandaoni kwamba tundu lisu asimuache john mnyika.
 
Duh 🙄 binadamu wengine ni kama wasted sperm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…