SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Nshala ameteuliwa kuwa Mwanasheria Mkuu wa Chadema mbona ndiyo mwake humo.Kwa kweli. Nshala Hana usiasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nshala ameteuliwa kuwa Mwanasheria Mkuu wa Chadema mbona ndiyo mwake humo.Kwa kweli. Nshala Hana usiasa.
Nshala ameteuliwa kuwa mwanasheria mkuu wa chama nayo unaona hafai utakuwa na shida naye personal.Safi kwa Mnyika.
Nshala hamna kitu.
Hivi Saim Mwalimu Yuko wapi!?anastahili , anafaa sana Mnyika kukaa hapo .
Pia na Salim Mwalimu wote wamefanya Kazi nzuri .
Maccm mna usenge mwingi sana,wenge la ushindi wa Lissu bado halijawatokaLisu amemsaliti lema, chadema watavurugana mapema sana.
Yupo mkuu na jana nilimuona alikuwa akisaidiana na viongozi wengine kuandaa mkutano n.kHivi Saim Mwalimu Yuko wapi!?
Nakuelewa Sana Mkuu.Yeye ni kama "balance between". Wengine wakiruka juu yeye kazi yake itakuwa kuwawekea godoro ili wakishuka wasiumie.
ni kweli kabisa, mnyika bado anafaa sana kuendelea kuwepo kwenye top managementHapana. Anastahili. Ni mtu ninayemfahamu.
mnyika bado anafaa sana, hata kabla ya uteuzi huu mimi binafsi nilitoa comment humu mtandaoni kwamba tundu lisu asimuache john mnyika.Tungeenda na Lema, Mnyika kafanya kazi nzuri ila ilifaa apumzike kwanza.
Fanaleki zako Mwasiatakata punzi tuh wala haina tabu wazee tunajua jinsi ya kucheza nae huyo kijana
Wanasema Lema ni mtu wa field! alishazoea kash kashi! Mnyika hayuko aggressive fieldTungeenda na Lema, Mnyika kafanya kazi nzuri ila ilifaa apumzike kwanza.
Huu udini hautakiwi CHADEMA
Jamaaa kichwa sana saanaKatibu Mkuu bado ni John Mnyika
Kwa kweli. Nshala Hana usiasa.
huyo nshala kazi yake ni mambo ya ushauri wa kisheria tu, nafikiri atakuwa mtu wa kushughulikia zaidi kesi za mahakamani wala siyo siasa za majukwaaniHapo amechemka kumteua.
Duh 🙄 binadamu wengine ni kama wasted spermPole sana kwa walutheri wakiwemo askofu Shoo na Bagonza na waprotestant akina Askofu Mwamakula na walokole akina Askofu Mwanamapinduzi chama chenu cha Chadema wakatoliki wamechukua hatamu za chama kiko chini ya wakatoliki Lisu na Mnyika
Pole ziwafikie pia chama cha Christian Democrstic Union cha Ujerumani baba mlezi wa hiari wa Chadema kwa miaka nenda rudi
Amemaliza muda wakeHivi Saim Mwalimu Yuko wapi!?