Bado huelewi tuu? Mbona una akili nzito kama mwenyekiti jiwe?NEC siyo itikadi za vyama we kidagaa wa hapo ufipa
Magufuli alimnadi Wenje akiwa Musoma. 🤣 🤣🤣Sawa mbona mrema cheyo mbatia wamnadi mgombea wa ccm
Juzi magufuli alimnadi ezekia wenje kule rorya
Chadema wanashirikiana na ACT Wazalendo kwanza kwa kutokusimamisha mgombea wa Urais Zanzibar, pili kwa kutosimamisha wagombea Ubunge na uwakilishi katika kisiwa cha Pemba,wamewaachia ACT Wazalendo. Mbona ni rahisi kueleweka!Ndugu zangu,
Baada ya kuusoma upepo Zanzibar Lissu abadili gia angani badala ya kumnadi mgombea urais wa CHADEMA amemnadi Maalim Seif.
Muda unatoa majibu sasa.
(Lissu) Amesema kuwa, "Kumuunga Maalim Seif mkono na ACT sio kuwasaliti watu wetu, ni kutambua ukweli ulioko wazi kwa kila mtu kwamba, hawa ni chama kinachoweza kuiondoa CCM madarakani".
Tundu Lissu ni kiongozi bora na mwenye maono ya kulivusha taifa
Chadema ni wajinga sana!
Sasa hiyo ni nini?
Sasa hii nchi mtaitawala vipi?
Yani kule act huku chadema, nchi moja itikadi 2.
Hakuna system ya kijinga kugawa mchi vipande namna hii.
Hakuna njia zaid ya hiyo vinginevyo wa pemba wangemsambaaNdugu zangu,
Baada ya kuusoma upepo Zanzibar Lissu abadili gia angani badala ya kumnadi mgombea urais wa CHADEMA amemnadi Maalim Seif.
Muda unatoa majibu sasa.
Wanajua kabisa kuwa hiyo rasimu ya jaji Warioba ingepitishwa na hatimaye katiba mpya kupatikana ndiyo ungekuwa ni mwisho wao.Rasimu ya Warioba ilishaweka bayana jinsi masuala ya Muungano yatakavyoendeshwa.Kwa kuwa sisiem imezoea kuendesha nchi kwa ulaghai,ikaiondoa hiyo rasimu bora kabisa.
Umeandika gazeti zima la mzalendo lkn hakuna lolote zaidi ya upotolo mtupu.Kifupi Lisu Hataki chama chake anajijali yeye tu anachotafuta ni kura zake tu Zanzibar kuwa chadema itakufa Zanzibar hilo hajali
Ieleweke kuwa kilichotakiwa ile process iliyotumika kupata mgombea uraisi wa Chadema Zanzibar ilitakiwa ifuatwe.Mikutano ya chama ifanywe kutengua uteuzi wa mgombea na kumtaarifu officially na umma kuutangazia na taarifa kupelekwa tume ya uchaguzi ya Zanzibar
Kitendi alucgifanya Lisu ni kudharau wanachadema wote wa Zanzibar na kuamua yeye kama yeye kujiunga na ACT wazalendo bila kukaribishwa wala kuombwa kuwa kuwa muunge mkono mgombea wetu
Ka force kwa kuvu kudandia mgongo wa Maalim Seif imo apate kura za wazanzibai kupitia Seif
Ila uzuri wa wazanzibari ni watu wa misimamo hupigia chama na walioidhinishwa na chama chao hivyo asitarajie kuwa wataacha ku tick Membe aliyeidhinishwa na chama chao halafu watie tick kwake
Membe katembezwa na Maalim Seif Zanzibar na Pemba yote kutambulishwa na fomu kesharudisha NEC na kupitishwa kugombea akishafikia hapo huwa hakuna kujitoa
Pili Lisu anachofanya ni kugombanisha vyama.Kumponda Member wa ACT imo apewe yeye na kumponda mgombea uraisi wa Chadema Zanzibar. Hao anaowaponda wana makundi yao Bara na Zanzibar yanaumia na kura zao asitegemee kupata na kwa kumponda mgombea uraisi wa Chadema Zanzibar kundi la Chadema Zanzibar halitafanya tena kampeni za kumnadi Lisu na ACT wazalendo haiwezi acha kumnadi Membe Zanzibar imnadi Lisu matokeo nini Atakosa note kuanzia kura hadi wa kumpigia kura Zanzibar
Lisu hakujiandaa kuwa Raisi hajui siasa
Wewe mtoto wa kike inabidi uwe na lugha ya staha kwa wanaume ili angalau upate mtu wa kukushika mkono maishani.Yule midevu alichukua fomu labda kama hatarudisha
ACT wazalendo haiwezi Ingia Mtego wenu wa kitapeli ambao hayuko hata kisheria maamuzi kama Hayo hufanywa na kamati kuu ya chama na mkutano mkuu .Lisu kajitamkia tu hana back up ya kamati kuu wala mkutano mkuu na hakuna minute za kikao chochote cha Chadema kilichotamka hivyo!!!Siasa ni Sayansi na sayansi ina either On / Off ama One and Zero. ACT kazi ni kwenu, Lissu na CDM wameonyesha njia kule Zanzibar na habari hii kila mpenda mageuzi ya kweli ataungana na Lissu. Upepo wa kisiasa bara kwa sasa upo kwa Lissu na si Bernard ... hii si ramli bali ndiyo uhalisia ulivyo.
ACT hamuoni ni muda muafaka sasa na nyie kuungana na CDM bara kwenye URAIS tu ili kufukia kabisa kaburi la CCM ?...hebu wapeni watanzania raha jamani - wameteseka sana sana hasa hii mitano inayoisha... Mh Zitto sina wasiwasi na wewe kwenye hili.
Vikao cha vyama vya Hayo maamuzi vilifanyika lini na wapi?Chadema wanashirikiana na ACT Wazalendo kwanza kwa kutokusimamisha mgombea wa Urais Zanzibar, pili kwa kutosimamisha wagombea Ubunge na uwakilishi katika kisiwa cha Pemba,wamewaachia ACT Wazalendo. Mbona ni rahisi kueleweka!
Hiyo fomu alirudisha lini na kuteuliwa kugombea urais? Mataga mnahangaika sanaYupo nilimuona akichukua fomu ila nimesahau jina lake
Kwn mpk ww upewe taarifa? vikao vimefanyika subiri utekelezaji tuVikao cha vyama vya Hayo maamuzi vilifanyika lini na wapi?
Alifika bei kwa Lowasa ashindwe kufika bei kwa Seif?Kwahiyo na Lissu kafika bei kwa Sefu
Povu tu linakutoka, maamuzi ya vikao vya ndani unayajua wewe? Subiri sindano ikuingieACT wazalendo haiwezi Ingia Mtego wenu wa kitapeli ambao hayuko hata kisheria maamuzi kama Hayo hufanywa na kamati kuu ya chama na mkutano mkuu .Lisu kajitamkia tu hana back up ya kamati kuu wala mkutano mkuu na hakuna minute za kikao chochote cha Chadema kilichotamka hivyo!!!
Si ķila chama kinaendeshwa kienyejj kama chadema. UNATAKA ACT waunge mkono kwa document za kikao kipi cha Chadema kilichotamka kuwa kinamuunga mkono Maalim Seif? Hakuna kikao hata kimoja tukisema Tundu Lisu ni mwanasheria koko hatutanii .hakuna kikao chochote kimefanya anajiibukia tu kutoa matamko mazito yaliyo kinyume na katiba ya Chadema na utaratibu wa chama na Mbowe yuko kimya kutokemea hip ujinga wa Lisu.Mbowe alitakiwa ameshasimama na kutoa tamko zito kuhusu hiio yako la Lisu
Lissu kawavuruga mataga na mabwana zaoAlifika bei kwa Lowasa ashindwe kufika bei kwa Seif