Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amuunga mkono Maalim Seif Urais Zanzibar

NEC siyo itikadi za vyama we kidagaa wa hapo ufipa
Bado huelewi tuu? Mbona una akili nzito kama mwenyekiti jiwe?
Zanzibar na JMT ni serikali mbili tofauti. Kila moja ina katiba yake, Rais wake, wimbo wake na mipaka yake.
 
Ndugu zangu,

Baada ya kuusoma upepo Zanzibar Lissu abadili gia angani badala ya kumnadi mgombea urais wa CHADEMA amemnadi Maalim Seif.

Muda unatoa majibu sasa.

Chadema wanashirikiana na ACT Wazalendo kwanza kwa kutokusimamisha mgombea wa Urais Zanzibar, pili kwa kutosimamisha wagombea Ubunge na uwakilishi katika kisiwa cha Pemba,wamewaachia ACT Wazalendo. Mbona ni rahisi kueleweka!
 
(Lissu) Amesema kuwa, "Kumuunga Maalim Seif mkono na ACT sio kuwasaliti watu wetu, ni kutambua ukweli ulioko wazi kwa kila mtu kwamba, hawa ni chama kinachoweza kuiondoa CCM madarakani".

Sasa kama mnaona ACT ndicho chama cha kutoa upinzanim unaoeleweka, mturudishe miatano, miatano zetu mnazotuchangisha kwenye mikutano ya kampeni zenu! Sisi tunajinyima kusaidia Chadema, kumbe viongozi mmeishapewa 'mlungula' na ACT na chama mmeishakichinjia baharini! Huo ni usaliti kwa wanachama hakuna namna nyingine ya kuelezea tukio hili!

Na kama ni 'mbwai' na sasa iwe 'mbwai'; tutawashughulikia kwenye sanduku la kura na ACT yenu!
 
Tundu Lissu ni kiongozi bora na mwenye maono ya kulivusha taifa
Chadema ni wajinga sana!

Sasa hiyo ni nini?

Sasa hii nchi mtaitawala vipi?

Yani kule act huku chadema, nchi moja itikadi 2.

Hakuna system ya kijinga kugawa mchi vipande namna hii.

Rasimu ya Warioba ilishaweka bayana jinsi masuala ya Muungano yatakavyoendeshwa.Kwa kuwa sisiem imezoea kuendesha nchi kwa ulaghai,ikaiondoa hiyo rasimu bora kabisa.
 
Ndugu zangu,

Baada ya kuusoma upepo Zanzibar Lissu abadili gia angani badala ya kumnadi mgombea urais wa CHADEMA amemnadi Maalim Seif.

Muda unatoa majibu sasa.

Hakuna njia zaid ya hiyo vinginevyo wa pemba wangemsambaa
 
Kifupi Lisu Hataki chama chake anajijali yeye tu anachotafuta ni kura zake tu Zanzibar kuwa chadema itakufa Zanzibar hilo hajali

Ieleweke kuwa kilichotakiwa ile process iliyotumika kupata mgombea uraisi wa Chadema Zanzibar ilitakiwa ifuatwe.Mikutano ya chama ifanywe kutengua uteuzi wa mgombea na kumtaarifu officially na umma kuutangazia na taarifa kupelekwa tume ya uchaguzi ya Zanzibar

Kitendi alucgifanya Lisu ni kudharau wanachadema wote wa Zanzibar na kuamua yeye kama yeye kujiunga na ACT wazalendo bila kukaribishwa wala kuombwa kuwa kuwa muunge mkono mgombea wetu

Ka force kwa kuvu kudandia mgongo wa Maalim Seif imo apate kura za wazanzibai kupitia Seif

Ila uzuri wa wazanzibari ni watu wa misimamo hupigia chama na walioidhinishwa na chama chao hivyo asitarajie kuwa wataacha ku tick Membe aliyeidhinishwa na chama chao halafu watie tick kwake

Membe katembezwa na Maalim Seif Zanzibar na Pemba yote kutambulishwa na fomu kesharudisha NEC na kupitishwa kugombea akishafikia hapo huwa hakuna kujitoa
Pili Lisu anachofanya ni kugombanisha vyama.Kumponda Member wa ACT imo apewe yeye na kumponda mgombea uraisi wa Chadema Zanzibar. Hao anaowaponda wana makundi yao Bara na Zanzibar yanaumia na kura zao asitegemee kupata na kwa kumponda mgombea uraisi wa Chadema Zanzibar kundi la Chadema Zanzibar halitafanya tena kampeni za kumnadi Lisu na ACT wazalendo haiwezi acha kumnadi Membe Zanzibar imnadi Lisu matokeo nini Atakosa note kuanzia kura hadi wa kumpigia kura Zanzibar

Lisu hakujiandaa kuwa Raisi hajui siasa
 
Rasimu ya Warioba ilishaweka bayana jinsi masuala ya Muungano yatakavyoendeshwa.Kwa kuwa sisiem imezoea kuendesha nchi kwa ulaghai,ikaiondoa hiyo rasimu bora kabisa.
Wanajua kabisa kuwa hiyo rasimu ya jaji Warioba ingepitishwa na hatimaye katiba mpya kupatikana ndiyo ungekuwa ni mwisho wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siasa ni Sayansi na sayansi ina either On / Off ama One and Zero. ACT kazi ni kwenu, Lissu na CDM wameonyesha njia kule Zanzibar na habari hii kila mpenda mageuzi ya kweli ataungana na Lissu. Upepo wa kisiasa bara kwa sasa upo kwa Lissu na si Bernard ... hii si ramli bali ndiyo uhalisia ulivyo.

ACT hamuoni ni muda muafaka sasa na nyie kuungana na CDM bara kwenye URAIS tu ili kufukia kabisa kaburi la CCM ?...hebu wapeni watanzania raha jamani - wameteseka sana sana hasa hii mitano inayoisha... Mh Zitto sina wasiwasi na wewe kwenye hili.
 
Kifupi Lisu Hataki chama chake anajijali yeye tu anachotafuta ni kura zake tu Zanzibar kuwa chadema itakufa Zanzibar hilo hajali

Ieleweke kuwa kilichotakiwa ile process iliyotumika kupata mgombea uraisi wa Chadema Zanzibar ilitakiwa ifuatwe.Mikutano ya chama ifanywe kutengua uteuzi wa mgombea na kumtaarifu officially na umma kuutangazia na taarifa kupelekwa tume ya uchaguzi ya Zanzibar

Kitendi alucgifanya Lisu ni kudharau wanachadema wote wa Zanzibar na kuamua yeye kama yeye kujiunga na ACT wazalendo bila kukaribishwa wala kuombwa kuwa kuwa muunge mkono mgombea wetu

Ka force kwa kuvu kudandia mgongo wa Maalim Seif imo apate kura za wazanzibai kupitia Seif

Ila uzuri wa wazanzibari ni watu wa misimamo hupigia chama na walioidhinishwa na chama chao hivyo asitarajie kuwa wataacha ku tick Membe aliyeidhinishwa na chama chao halafu watie tick kwake

Membe katembezwa na Maalim Seif Zanzibar na Pemba yote kutambulishwa na fomu kesharudisha NEC na kupitishwa kugombea akishafikia hapo huwa hakuna kujitoa
Pili Lisu anachofanya ni kugombanisha vyama.Kumponda Member wa ACT imo apewe yeye na kumponda mgombea uraisi wa Chadema Zanzibar. Hao anaowaponda wana makundi yao Bara na Zanzibar yanaumia na kura zao asitegemee kupata na kwa kumponda mgombea uraisi wa Chadema Zanzibar kundi la Chadema Zanzibar halitafanya tena kampeni za kumnadi Lisu na ACT wazalendo haiwezi acha kumnadi Membe Zanzibar imnadi Lisu matokeo nini Atakosa note kuanzia kura hadi wa kumpigia kura Zanzibar

Lisu hakujiandaa kuwa Raisi hajui siasa
Umeandika gazeti zima la mzalendo lkn hakuna lolote zaidi ya upotolo mtupu.

Kweli omba Mungu akupatie akili utaishi maisha ya kuheshimika kuliko wewe unavyo jidhalilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siasa ni Sayansi na sayansi ina either On / Off ama One and Zero. ACT kazi ni kwenu, Lissu na CDM wameonyesha njia kule Zanzibar na habari hii kila mpenda mageuzi ya kweli ataungana na Lissu. Upepo wa kisiasa bara kwa sasa upo kwa Lissu na si Bernard ... hii si ramli bali ndiyo uhalisia ulivyo.

ACT hamuoni ni muda muafaka sasa na nyie kuungana na CDM bara kwenye URAIS tu ili kufukia kabisa kaburi la CCM ?...hebu wapeni watanzania raha jamani - wameteseka sana sana hasa hii mitano inayoisha... Mh Zitto sina wasiwasi na wewe kwenye hili.
ACT wazalendo haiwezi Ingia Mtego wenu wa kitapeli ambao hayuko hata kisheria maamuzi kama Hayo hufanywa na kamati kuu ya chama na mkutano mkuu .Lisu kajitamkia tu hana back up ya kamati kuu wala mkutano mkuu na hakuna minute za kikao chochote cha Chadema kilichotamka hivyo!!!

Si ķila chama kinaendeshwa kienyejj kama chadema. UNATAKA ACT waunge mkono kwa document za kikao kipi cha Chadema kilichotamka kuwa kinamuunga mkono Maalim Seif? Hakuna kikao hata kimoja tukisema Tundu Lisu ni mwanasheria koko hatutanii .hakuna kikao chochote kimefanya anajiibukia tu kutoa matamko mazito yaliyo kinyume na katiba ya Chadema na utaratibu wa chama na Mbowe yuko kimya kutokemea hip ujinga wa Lisu.Mbowe alitakiwa ameshasimama na kutoa tamko zito kuhusu hiio yako la Lisu
 
Chadema wanashirikiana na ACT Wazalendo kwanza kwa kutokusimamisha mgombea wa Urais Zanzibar, pili kwa kutosimamisha wagombea Ubunge na uwakilishi katika kisiwa cha Pemba,wamewaachia ACT Wazalendo. Mbona ni rahisi kueleweka!
Vikao cha vyama vya Hayo maamuzi vilifanyika lini na wapi?
 
ACT wazalendo haiwezi Ingia Mtego wenu wa kitapeli ambao hayuko hata kisheria maamuzi kama Hayo hufanywa na kamati kuu ya chama na mkutano mkuu .Lisu kajitamkia tu hana back up ya kamati kuu wala mkutano mkuu na hakuna minute za kikao chochote cha Chadema kilichotamka hivyo!!!

Si ķila chama kinaendeshwa kienyejj kama chadema. UNATAKA ACT waunge mkono kwa document za kikao kipi cha Chadema kilichotamka kuwa kinamuunga mkono Maalim Seif? Hakuna kikao hata kimoja tukisema Tundu Lisu ni mwanasheria koko hatutanii .hakuna kikao chochote kimefanya anajiibukia tu kutoa matamko mazito yaliyo kinyume na katiba ya Chadema na utaratibu wa chama na Mbowe yuko kimya kutokemea hip ujinga wa Lisu.Mbowe alitakiwa ameshasimama na kutoa tamko zito kuhusu hiio yako la Lisu
Povu tu linakutoka, maamuzi ya vikao vya ndani unayajua wewe? Subiri sindano ikuingie
 
Back
Top Bottom