rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Kina yule makamu mwenyekiti Zanzibar alipitishwa, ameishia wapi?Ndio bila shaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kina yule makamu mwenyekiti Zanzibar alipitishwa, ameishia wapi?Ndio bila shaka
Walishafanya makubaliano, ndio maana Membe anacheza mechi za mchangani
Unazungumzia mgombea mwenza wa Lissu? Salum Mwalim!Kina yule makamu mwenyekiti Zanzibar alipitishwa ameishia wapi
Kuna yule mmoja alikuwa na ndevu nyingi Kama za Hashimu, sijajua Kama alikatwaIna maana chadema hawajaweka mgombea Zanzibar
Ndugu zangu,
Baada ya kuusoma upepo Zanzibar Lissu abadili gia angani badala ya kumnadi mgombea urais wa Chadema amemnadi Maalim Seif.
Muda unatoaajibu sasa
Huyu kamanda kahama Chadema?Zanzibar haina mgombea wa urais kupitia chadema. Salum mwalimu ni mgombea mwenza aka makamu wa rais if am not mistaken.
Membe hawezi waunga mkono nyie. Atamuunga JPM.Hizo ni stress zenu mnao kataliwa na waasisi wa lichama lenu chakavu
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona unajitekenya alafu unakenua meno kama kichaa, nani kakwambia habari za mh Membe?Membe hawezi waunga mkono nyie. Atamuunga JPM
Number already calculated politicallyTuko pamoja. CCM ikiwezwa kuondolewa Znz, itakua vyepesi mno kufurushwa na BARA pia.
Ndio mana ninaamini uchaguzi huu ni mwepesi sana. Yule mgombea wa Chadema urais wa zanzibar mtamwambia nini?
Basi hapo maccm yatakuwa yanajisikia vibaya maana wanajua wakati wao wa kukabidhi mali za watanzania kwenye mikono salama ndiyo umewadia.Walishafanya makubaliano, ndio maana Membe anacheza mechi za mchangani
Hakuenguliwa huyu na NEC?Huyu kamanda kahama Chadema?View attachment 1562087
Alikuwepo ila kaamua kumuunga mkono kiboko ya CCM Zanzibar mh sana Maalim SeifIna maana chadema hawajaweka mgombea Zanzibar
Nae mgonbea wa CHADEMA atamnadi MembeNdugu zangu,
Baada ya kuusoma upepo Zanzibar Lissu abadili gia angani badala ya kumnadi mgombea urais wa Chadema amemnadi Maalim Seif.
Muda unatoaajibu sasa
Mkuu hapo ndiyo kuna msemo wa ukitaka kumchinja Kobe lazima utumie timing.Akitoa kauli hadharani na kisha kuandamana na Lissu kwenye kampeni za Lissu itapendeza zaidi.
Hapana hakukatwa bali wameamua tu ku withdraw ili wamuunge mkono mh Maalim SeifKuna yule mmoja alikuwa na ndevu nyingi Kama za Hashimu, sijajua Kama alikatwa
Basi alibadilisha giya angani uko itakua. Hamna alokua hajachoshwa na sisiem!