Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amuunga mkono Maalim Seif Urais Zanzibar

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amuunga mkono Maalim Seif Urais Zanzibar

Kwa hiyo mgombea wa Chadema hatakuwepo kwenye form ya uchaguzi huko Zanzibar?
 
Akitoa kauli hadharani na kisha kuandamana na Lissu kwenye kampeni za Lissu itapendeza zaidi.
Ni kweli. Na ukimsikiliza alivyoongea Zenji kamaanisha hivyo vyeo sio muhimu kwa sasa Bali muhimu ni kuifurumusha CCM Kwanza.

Amezungumza vizuri sana Lissu na Wazanzibar wote wameelewa faida ya kumchagua yeye.
 
Cdm Zanzibar haina wafuasi. Mpinzani mwenye wafuasi Zanzibar ni Seif bila kujali yuko chama gani. Membe hana ushawishi popote sio Zanzibar au bara.
Kwanini mlimweka? Ham a itikadi nyie!!!!! TL huwa ni mchumia tumbo tu
 
Nazani sasa mnaelewa mgogoro wa kidiplomasia na nchi flani, sio vijimambo vya CORONA mwee!

Lisu aliponea kule. Mpo?
 
Chadema ni wajinga sana!

Sasa hiyo ni nini?

Sasa hii nchi mtaitawala vipi?

Yani kule act huku chadema, nchi moja itikadi 2.

Hakuna system ya kijinga kugawa mchi vipande namna hii.
 
Back
Top Bottom