Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amuunga mkono Maalim Seif Urais Zanzibar

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amuunga mkono Maalim Seif Urais Zanzibar

Ndugu zangu,

Baada ya kuusoma upepo Zanzibar Lissu abadili gia angani badala ya kumnadi mgombea urais wa CHADEMA amemnadi Maalim Seif.

Muda unatoa majibu sasa.
Somo la propaganda ulipata zero huoni unampigia kampeni Lissu usiyempenda.
 
Upepo kama unabadilika hivi..[emoji44][emoji44]
 
ishara ya maandalizi duni katika uchaguzi huu
Mnahamisha tu Magoli. Ukweli ni kwamba CCM mmepigwa counter attack na Lissu. Msimamo wa Chadema alioutoa leo Lissu Zanzibar ndo unaenda kuhitimisha utawala wa CCM bara na visiwani.

Kweli CCM mtajua hamjui mwaka huu. Dadeki huyo ndo Lissu!!!
 
Sasa wewe unawashwa washwa nini..
Badala ya kumpigia kampeni Mgombea wako ili akukumbuke tena kwenye teuzi ,wewe umekalia maneno tu kama Kigwa.
 
Ndugu zangu,

Baada ya kuusoma upepo Zanzibar Lissu abadili gia angani badala ya kumnadi mgombea urais wa CHADEMA amemnadi Maalim Seif.

Muda unatoa majibu sasa.
Lissu anatumia akili kufahamu matakwa ya wananchi wa Zanzibar.Si yeye t hata Mimi bila kupepesa macho ningemnadi Maalim seif Sharif Hamad kwani ndiye kipenzi Cha Wazanzibar na hata wapinzani wote wanalijua Hilo.
 
Mnahamisha tu Magoli. Ukweli ni kwamba CCM mmepigwa counter attack na Lissu. Msimamo wa Chadema alioutoa leo Lissu Zanzibar ndo unaenda kuhitimisha utawala wa CCM bara na visiwani.

Kweli CCM mtajua hamjui mwaka huu. Dadeki huyo ndo Lissu!!!
huko mnakolalia ndiko walikoamkia wenzenu
 
Chadema wanajua
Huyu kamanda kahama Chadema wanajua wanalolifanya hata mgombea wa Chadema Zanzibar analitambua Hilo na aliwekwa botion t ili manyumbu wa ccm msianze kelele kwenye time za kwamba oooh wameungana kinyume na kanuni ziwe figisu kwenu tume.
 
Ndugu zangu,

Baada ya kuusoma upepo Zanzibar Lissu abadili gia angani badala ya kumnadi mgombea urais wa CHADEMA amemnadi Maalim Seif.

Muda unatoa majibu sasa.
Dk 45 ccm hoi ni mwendo wa mafuso kujaza watoto uwanjani
Screenshot_20200907-150306_Twitter.jpeg
 
Kwanini mlimweka? Ham a itikadi nyie!!!!! TL huwa ni mchumia tumbo tu
Mgombea wa CDM huko Zanzibar aliwekwa kimkakati we mpuuzi wa Lumumba, hiyo ilikua ni baada ya Tume yenu ya Uchaguzi ILIYOWEKWA MFUKONI na jiwe kuwawekea mizengwe mingi ili wasiungane. Sawa sawa?
 
Cdm Zanzibar haina wafuasi. Mpinzani mwenye wafuasi Zanzibar ni Seif bila kujali yuko chama gani. Membe hana ushawishi popote sio Zanzibar au bara.
kama mlijua hayo kwa nini mliteua mgombea kwa zanzibar?
kwa kauli hiyo hata lissu anawaambia wasimchague achaguliwe Membe
 
Kule vyama ni viwili tu vingine vyote havina hata uwakilishi popote ukimtoa mbunge wa kuteuliwa Hamadi Rashid ADC!

Kwa hiyo na viti vya ubunge wamewaunga mkono ACT au urais pekee?
 
Chadema wanajipendekeza kwa act wanajua wazi Zanzibar hawapati kura yeyote wanazuga kuwaunga mkono ili eti act iwaunge na wao mkono huku bara, huku bara mnagawana kura na act
 
Dah.....Totally confusion, Yaani ACT wanamnadi Membe na Maalim halafu CDM anajinadi yeye Lissu na sio Membe na Maalim. Da wameshanigawa hata sielewi...! Kura apate Membe au Lissu? Kinachosikitisha baada ya hapo kilio kitakuwa tumeibiwa Kura...!!dam.
 
Ndugu zangu,

Baada ya kuusoma upepo Zanzibar Lissu abadili gia angani badala ya kumnadi mgombea urais wa CHADEMA amemnadi Maalim Seif.

Muda unatoa majibu sasa.
Je Mgombea urais wa Chadema Zanzibar alifika ofisi za NEC kuchukua fomu ?
 
kama mlijua hayo kwa nini mliteua mgombea kwa zanzibar?
kwa kauli hiyo hata lissu anawaambia wasimchague achaguliwe Membe

Tulimteua mimi na nani? Kampe Membe nani kakukataza?
 
Back
Top Bottom