Somo la propaganda ulipata zero huoni unampigia kampeni Lissu usiyempenda.Ndugu zangu,
Baada ya kuusoma upepo Zanzibar Lissu abadili gia angani badala ya kumnadi mgombea urais wa CHADEMA amemnadi Maalim Seif.
Muda unatoa majibu sasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Somo la propaganda ulipata zero huoni unampigia kampeni Lissu usiyempenda.Ndugu zangu,
Baada ya kuusoma upepo Zanzibar Lissu abadili gia angani badala ya kumnadi mgombea urais wa CHADEMA amemnadi Maalim Seif.
Muda unatoa majibu sasa.
Mnahamisha tu Magoli. Ukweli ni kwamba CCM mmepigwa counter attack na Lissu. Msimamo wa Chadema alioutoa leo Lissu Zanzibar ndo unaenda kuhitimisha utawala wa CCM bara na visiwani.ishara ya maandalizi duni katika uchaguzi huu
Lissu anatumia akili kufahamu matakwa ya wananchi wa Zanzibar.Si yeye t hata Mimi bila kupepesa macho ningemnadi Maalim seif Sharif Hamad kwani ndiye kipenzi Cha Wazanzibar na hata wapinzani wote wanalijua Hilo.Ndugu zangu,
Baada ya kuusoma upepo Zanzibar Lissu abadili gia angani badala ya kumnadi mgombea urais wa CHADEMA amemnadi Maalim Seif.
Muda unatoa majibu sasa.
huko mnakolalia ndiko walikoamkia wenzenuMnahamisha tu Magoli. Ukweli ni kwamba CCM mmepigwa counter attack na Lissu. Msimamo wa Chadema alioutoa leo Lissu Zanzibar ndo unaenda kuhitimisha utawala wa CCM bara na visiwani.
Kweli CCM mtajua hamjui mwaka huu. Dadeki huyo ndo Lissu!!!
Thubutu yenu!!! Mwaka huu mtoto hatumwi dukani!!huko mnakolalia ndiko walikoamkia wenzenu
Kwani Wewe unatafuta nini?Mikakati ya kutafuta ruzuku?
Huyu kamanda kahama Chadema wanajua wanalolifanya hata mgombea wa Chadema Zanzibar analitambua Hilo na aliwekwa botion t ili manyumbu wa ccm msianze kelele kwenye time za kwamba oooh wameungana kinyume na kanuni ziwe figisu kwenu tume.
Dk 45 ccm hoi ni mwendo wa mafuso kujaza watoto uwanjaniNdugu zangu,
Baada ya kuusoma upepo Zanzibar Lissu abadili gia angani badala ya kumnadi mgombea urais wa CHADEMA amemnadi Maalim Seif.
Muda unatoa majibu sasa.
Mgombea wa CDM huko Zanzibar aliwekwa kimkakati we mpuuzi wa Lumumba, hiyo ilikua ni baada ya Tume yenu ya Uchaguzi ILIYOWEKWA MFUKONI na jiwe kuwawekea mizengwe mingi ili wasiungane. Sawa sawa?Kwanini mlimweka? Ham a itikadi nyie!!!!! TL huwa ni mchumia tumbo tu
kama mlijua hayo kwa nini mliteua mgombea kwa zanzibar?Cdm Zanzibar haina wafuasi. Mpinzani mwenye wafuasi Zanzibar ni Seif bila kujali yuko chama gani. Membe hana ushawishi popote sio Zanzibar au bara.
umeona mgombea wa chadema akichukua fomu na kurejesha ?Ina maana CHADEMA hawajaweka mgombea Zanzibar
Je Mgombea urais wa Chadema Zanzibar alifika ofisi za NEC kuchukua fomu ?Ndugu zangu,
Baada ya kuusoma upepo Zanzibar Lissu abadili gia angani badala ya kumnadi mgombea urais wa CHADEMA amemnadi Maalim Seif.
Muda unatoa majibu sasa.
Hawajui, muda mfupi ujao ACT bara watasema jamboSubiri kimbunga na Chadema na ACT wana mikakati mizito.
kama mlijua hayo kwa nini mliteua mgombea kwa zanzibar?
kwa kauli hiyo hata lissu anawaambia wasimchague achaguliwe Membe