Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amuunga mkono Maalim Seif Urais Zanzibar

Akitoa kauli hadharani na kisha kuandamana na Lissu kwenye kampeni za Lissu itapendeza zaidi.
BAK, unajua kitakachotokea akijitoa? Kwasababu jina na picha zitakuwepo kwenye ballot paper, kura za wizi za maccm zitapigwa kwa Membe. Utashangaa anampita hata Lissu. Mind you, wameandikishwa wapiga kura zaidi ya nusu ya population ya Tanzania. Utakuja kuniona shekhe Yahya [emoji23][emoji23]
 
Reactions: BAK
Mkuu kila kitu kilishapagwa, tutakuwa tunaingiza mbinu moja moja mpaka mwisho.

Mambo yapo Connected.
 
Lissu amekuwa realistic kwenye huu uchaguzi.

Wangeunganisha nguvu hata kwenye majimbo ya ubunge na udiwani kuhakikisha wanasimamisha mgombe mmoja...
Ila upinzani ndio wametegwa sana na sheria na kanuni za uchaguzi. Wakiungana, msajili wa vyama vya siasa anao uwezo wa kuwafuta
 
Mgombea wa CDM huko Zanzibar aliwekwa kimkakati we mpuuzi wa Lumumba, hiyo ilikua ni baada ya Tume yenu ya Uchaguzi ILIYOWEKWA MFUKONI na jiwe kuwawekea mizengwe mingi ili wasiungane. Sawa sawa?
Ukiona mtu anajibu kwa jazba (kama ulivyojibu) ni dhahiri anakuwa ameishiwa hoja. Na hii inatanabaisha vijana wengi wa chadema ni wakurupukaji. Tunasubiri tarehe 28 October 2020 mtakavyokuwa na Kihoro JPM atakapowagalagaza
 
Ukiona mtu anajibu kwa jazba (kama ulivyojibu) ni dhahiri anakuwa ameishiwa hoja. Na hii inatanabaisha vijana wengi wa chadema ni wakurupukaji. Tunasubiri tarehe 28 October 2020 mtakavyokuwa na Kihoro JPM atakapowagalagaza
Kwahiyo akiwagaragaza ndiyo USA itamuondolea vikwazo Bashite?
 
Maamuzi yote mazito ya chama huamuliwa na vikao vizito vya chama..

CHADEMA kupitia vikao vyake Halali vya kamati kuu, baraza kuu na mkutano mkuu waliteua mgombea urais wa Zanzibar

Lissu kasema kura za Zanzibar apewe Maalim Seif wa ACT wazalendo kajitamkia bila ridhaa ya kamati kuu, baraza kuu wala mkutano kuu.

CHADEMA Hayo maamuzi aliyotamka Lissu mlikaa kikao gani kuyaamua?

Mgombea wenu anavunja katiba ya CHADEMA mchana kweupe.

Sasa huyo mgombea mliyemwidhinisha kuwa agombee urais Zanzibar mbona mnatapeli mchana kweupe.
 
Hawezi kuwa ametamka yale kwa kukurupuka.., lazima kuna mawasiliano ya ndani.
 
CHADEMA wameanza kukiri udhaifu Sasa,

Hata hapa bara pia nako watabwaga manyanga.
 
Ni fedheha kubwa kwa kiongozi anayetaka kuwa Mkuu wa nchi hoja yake kubwa ati ni kuiondoa CCM madarakani. INAFIKIRISHA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…