Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Ccm lazima mchanganyikiwe mwaka huu. Hiyo ndo Lissu, Big brain!Hiyo inaonyesha ubinafsi maana Chadema waliweka mgombea huko Zenji. Huko ni kufilisika kimawazo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ccm lazima mchanganyikiwe mwaka huu. Hiyo ndo Lissu, Big brain!Hiyo inaonyesha ubinafsi maana Chadema waliweka mgombea huko Zenji. Huko ni kufilisika kimawazo.
Hajui hoja kuu za Chadema na ACT ni katiba ya warioba ambapo inasema kutakuwa na serikali 3. Mpuuzi huyu achana naeMbona unapagawa. Asante kwa kutambua kuwa 2021 - 2015 Zanzibar ACT Bara Chadema.
Usisahau kudondosha kura yako.👏👏
Naona Lissu Kakupa pressure😂😂😂😂Wote wasaka tonge am trusting non of them..ngoja nilale kesho asbh na mimi nikasake tonge langu.
Poleni sana. Lissu kawashika pabaya sana!!! Huo ndo umunimu wa kuwa na mgombea uraisi mwenye akili kubwaChadema wameanza kukiri udhaifu Sasa,
Hata hapa bara pia nako watabwaga manyanga.
Kwa hiyo mgombea wa Chadema Zanzibar atajitoa....Mgombea Urais wa Tanzania Bara kupitia CHADEMA akiwa kwenye kampeni Zanzibar amesema Maalim Seif wa ACT-Wazalendo ndio sauti ya wazanzibari kwa miaka 35, hajawahi kubadilisha msimamo wake juu ya kuitetea Zanzibar, kuna kila sababu ya kuungwa mkono kwa msimamo wake
Amesema kuwa, "Kumuunga Maalim Seif mkono na ACT sio kuwasaliti watu wetu, ni kutambua ukweli ulioko wazi kwa kila mtu kwamba, hawa ni chama kinachoweza kuiondoa CCM madarakani"
Polee mwana Lumumba 😂😂😂Kumbe alilijua hilo kafuata nini zenji angetoa tamko huku huku bara dadadeeki Mbowe amle nyama!
Kwani amechukua fomu ZEC???Kwa hiyo mgombea wa Chadema Zanzibar atajitoa....
😂😂😂😀 CCM mnalo mwaka huu. Lazima mjue hamjui mwaka huu, dadeki, huyo ndo Tundu Lissu akili kubwa!Na bara wasikilizaji wapo wapiga kura hamna
Si ndio kujitoa kwenyewe?Halafu mseme kanunuliwaKwani amechukua fomu ZEC???
Sasa kuna hoja kubwa kwenye uchaguzi huu zaidi ya hii??? Hakuna katiba mpya ya warioba bila CCM kutoka madarakani??? Hakuna uhuru wa Zanzibar bila CCM kutoka madarakani, Hakuna Uhuru, haki na maendeleo bila CCM kutoka madarakani!!!Ni fedheha kubwa kwa kiongozi anayetaka kuwa Mkuu wa nchi hoja yake kubwa ati ni kuiondoa CCM madarakani. INAFIKIRISHA.
Hujanielewa. Hoja yangu si kumtetea kiongozi kwani hata huyo ataondoka na vyama vitabaki.Firauna aliondoka misri na yy alikua na jeshi Kali kushinda majeshi yote jee Huyu mungu wa chato asiondoke kwa sababu gani
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Hivi akili zako zipo sawa? Naongelea ushindi wa JPM wewe unaleta mambo ya mpuuzi mwenzio Bashite! Don’t you know, to me Bashite is an idiot. Boy grow up
jecha yupo...?Basi hapo maccm yatakuwa yanajisikia vibaya maana wanajua wakati wao wa kukabidhi mali za watanzania kwenye mikono salama ndiyo umewadia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Stupid brain unaita big brain!Ccm lazima mchanganyikiwe mwaka huu. Hiyo ndo Lissu, Big brain!
Nimemjibu mwenye hoja kama yako. Kunakuwa na Chaguzi ili kuweka utawala wenye Sera/Mikakati mbadala si kwa lengo la kuondoana madarakani.Sasa kuna hoja kubwa kwenye uchaguzi huu zaidi ya hii??? Hakuna katiba mpya ya warioba bila CCM kutoka madarakani??? Hakuna uhuru wa Zanzibar bila CCM kutoka madarakani, Hakuna Uhuru, haki na maendeleo bila CCM kutoka madarakani!!!
Mnalo mwaka huu mataga [emoji23][emoji23][emoji3]
Huu ni ulaghai wa kisiasa tu. Hili hata mtoto wa chekechea analijua kwamba Chadema Zanzibar hawana ushawishi wowote ule. Hawawezi kupata kura hata asilimia 1, kwahiyo suala la wao kumuunga mkono Maalim Seif hawapotezi chochote kile. Ni tofauti sana na ACT huku Bara, kuna maeneo wanakubalika, hivyo kumuunga mkono Lissu bila mkakati wowote ni kama wao watapoteza zaidi.Mgombea Urais wa Tanzania Bara kupitia CHADEMA akiwa kwenye kampeni Zanzibar amesema Maalim Seif wa ACT-Wazalendo ndio sauti ya wazanzibari kwa miaka 35, hajawahi kubadilisha msimamo wake juu ya kuitetea Zanzibar, kuna kila sababu ya kuungwa mkono kwa msimamo wake.
Huwezi kuweka sera zako bila kipaumbele za kwanza cha kumtoa mpinzani wako mwenye ufedhuli mwingi kutumiaNimemjibu mwenye hoja kama yako. Kunakuwa na Chaguzi ili kuweka utawala wenye Sera/Mikakati mbadala si kwa lengo la kuondoana madarakani.
Kajipange upya mwana Ccm. Lissu kawashika vibaya na pabaya sana mwaka huu. Na ukweli ni kwamba hamna namna kwakeHuu ni ulaghai wa kisiasa tu. Hili hata mtoto wa chekechea analijua kwamba Chadema Zanzibar hawana ushawishi wowote ule. Hawawezi kupata kura hata asilimia 1, kwahiyo suala la wao kumuunga mkono Maalim Seif hawapotezi chochote kile. Ni tofauti sana na ACT huku Bara, kuna maeneo wanakubalika, hivyo kumuunga mkono Lissu bila mkakati wowote ni kama wao watapoteza zaidi...
Chadema wana ushawishi gani Zanzibar? Huu ni utapeli tu wa kisiasa.Ndio mana ninaamini uchaguzi huu ni mwepesi sana. Yule mgombea wa Chadema urais wa zanzibar mtamwambia nini?
Kama mliyajua hayo kwanini mliacha mchakato uendelee?
Tusubiri mgombea wa Chadema atakaposema wanaChadema Zanzibar wampigie membe kura za ndiyo.
Vipi ushatoka lindo?Kumbe alilijua hilo kafuata nini zenji angetoa tamko huku huku bara dadadeeki Mbowe amle nyama!