Tundu Lissu: An Independence Day Message to The People of Tanzania

Tundu Lissu: An Independence Day Message to The People of Tanzania

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Ujumbe wake ni huu:

Screenshot_20211210-205641_Chrome.jpg


Screenshot_20211210-205645_Chrome.jpg


Screenshot_20211210-205649_Chrome.jpg


Screenshot_20211210-205656_Chrome.jpg
 
Mwalimu Betrayed Uhuru!

Kwa maneno haya pia kanifanya nicheke sana:

"...Even the increase in jailhouse, remand prison and police stations counts as progress according to this paradigm "

My conclusion:

Tundu Lissu is to smart to live safely and peacefully in this country so he better ramains abroad for his safety.
 
naona tunacheza beat lingine la uhuru...

Ok, tunafikiri iko hivyo kwa faida gani, yaani waliopotosha hizo tarehe walifanya hivyo ili iweje, wao walinufaika na nini?
 
Ujumbe huu ni kwa Watanzania hawa hawa au amewaandikia wazungu na diaspora..
Kwa hiyo sisi hapa sio watanzania?? Hivi akili zenu hata kama ni kuwa mwanaccm ndio hata kiduchu hazimo?
 
wanaojua kiingereza ndio walioenda shule, wanaojua kifrench, kihispanyola, kichina na kiswahili wenyewe hawakwenda shule..
ni ujinga kuwa na diploma au degree halafu hujui kingereza.

kwa kimatumbi tunasema "it's nonsense to have a diploma or degree then you can't speak/read the english language.
 
Kwa hiyo sisi hapa sio watanzania?? Hivi akili zenu hata kama ni kuwa mwanaccm ndio hata kiduchu hazimo?

sidhani kama watanzania wanaojua kusoma na kuandika kienglish wanazidi 10%.....

Sio kila anayetofautiana mawazo na mnachowaza atakuwa CCM.....anaweza kuwa Chauma, TLP, ACT, CUF nk..
 
Watanzania wengi wanatumia na kuelewa kiswahili kuliko hiki alichoandika.....hii awaandikie mabwana zake wake wataelewa zaidi
 
ni ujinga kuwa na diploma au degree halafu hujui kingereza.

kwa kimatumbi tunasema "it's nonsense to have a diploma or degree then you can't speak/read the english language.

wengine degree au diploma tumesoma china, Urusi, Bulgaria, ufaransa, Ujerumani nk...

sidhani kama watanzania wenye degree au diploma wanafika 10%
 
Ndio changamoto za nyuzi kama hizi. Yaani tayari mada imeshabadilika kinachojadiliwa humu sasa ni suala la LUGHA na sio Ujumbe huo kutoka kwa Bwana LISU.

Mimi nacheka tu. " Haaahaaa"
 
Tundu Lissu is entitled to his opinion. Yaana ana haku ya kutoa mawazo yake. Nimeiisoma yote kikubwa anaponda hotuba ya Rais SSH kuwa imetaja maendeleo ya mabarabara, hospitali na mashule na magereza.

Mimi ni kati ya watu waliolaani sana kushambuliwa kwa Lissu na Kikundi cha Makonda kwa amri ya Magufuli. Nimeandika sana humu kuwa ulikuwa UNYAMA wa hali ya juu.

Lakini sikubaliani na Lissu kwa aliyoyaandika hapa. Lissu anahitaji tiba ya KISAIKOLOJIA baada ya kupata tiba ya majeraha ya risasi 16. Mtu anayetarajia kuomba kura za uRais hapaswi kubeza maendeleo tuliyoyapata kwa miaka 60.
 
Back
Top Bottom