Tundu Lissu: An Independence Day Message to The People of Tanzania

Tundu Lissu: An Independence Day Message to The People of Tanzania

that can not be taken as an excuse. please learn to speak english.

nitafsilie ndugu yangu, mimi sielewi hiyo lugha uliyoandika....mimi najua kiswahili tu na kimakonde, mimi ni mkulima wa kawaida huku sangamwalugesha..
 
Ndio changamoto za nyuzi kama hizi. Yaani tayari mada imeshabadilika kinachojadiliwa humu sasa ni suala la LUGHA na sio Ujumbe huo kutoka kwa Bwana LISU.

Mimi nacheka tu. " Haaahaaa"
Huo ujumbe ni mwiba kwa MATAGA hivyo ni bora wahakikishe haujadiliwi ingawa wanajidanganya kwani hawawezi kututoa nje ya reli.
 
Ndio changamoto za nyuzi kama hizi. Yaani tayari mada imeshabadilika kinachojadiliwa humu sasa ni suala la LUGHA na sio Ujumbe huo kutoka kwa Bwana LISU.

Mimi nacheka tu. " Haaahaaa"

Rais wa mioyo yetu ametuandikia ujumbe wapiga kura wake, sasa lugha aliyotumia inatupiga chenga...tumeomba tutafsiliwe ili sisi wapiga kura wake tuweze kuelewa na kujadili..

Kuna wale jamaa wa ACT wenyewe wanatuandikia ujumbe sisi wanyonge then wanaandika kwa kienglish kwa ajili ya wazungu wanaojua kienglish....
 
Tundu Lissu is entitled to his opinion. Yaana ana haku ya kutoa mawazo yake. Nimeiisoma yote kikubwa anaponda hotuba ya Rais SSH kuwa imetaja maendeleo ya mabarabara, hospitali na mashule na magereza.

Mimi ni kati ya watu waliolaani sana kushambuliwa kwa Lissu na Kikundi cha Makonda kwa amri ya Magufuli. Nimeandika sana humu kuwa ulikuwa UNYAMA wa hali ya juu.

Lakini sikubaliani na Lissu kwa aliyoyaandika hapa. Lissu anahitaji tiba ya KISAIKOLOJIA baada ya kupata tiba ya majeraha ya risasi 16. Mtu anayetarajia kuomba kura za uRais hapaswi kubeza maendeleo tuliyoyapata kwa miaka 60.
Mara kadhaa nimeandika humu hivi:

Sometimes it needs to be smart or intelligent enough to understand the smart or the intelligent person.

Unfortunately, it seems you are not that smart.
 
Huo ujumbe ni mwiba kwa MATAGA hivyo ni bora wahakikishe haujadiliwi ingawa wanajidanganya kwani hawawezi kututoa nje ya reli.

sasa kama MATAGA wenyewe hiyo lugha hawaijua, uzi unaanzaje kuwa mwiba kwao...hii nchi wanaojua kienglish ni CDM na ndio pia waliosoma maana tumeambiwa ili ujuwe hiko kienglish lazima uwe umesoma, hii nchi waliosoma na wenye akili ni CDM...
 
Mwalimu Betrayed Uhuru!

Kwa maneno haya pia kanifanya nicheke sana:

"...Even the increase in jailhouse, remand prison and police stations counts as progress according to this paradigm "

My conclusion:

Tundu Lissu is to smart to live safely and peacefully in this country so he better ramains abroad for his safety.
una milengo ya kichama ww jamaa !!?
kamwe huwezi kuwa mwanademokrasia you are too emotional
 
Nchi yetu ndio imerudi nyuma hivyo katika literacy skills?
sidhani kama watanzania wanaojua kusoma na kuandika kiswahili wanazidi 10%.....

Sio kila anayetofautiana mawazo na mnachowaza atakuwa CCM.....anaweza kuwa Chauma, TLP, ACT, CUF nk..
 
sasa kama MATAGA wenyewe hiyo lugha hawaijua, uzi unaanzaje kuwa mwiba kwao...hii nchi wanaojua kienglish ni CDM na ndio pia waliosoma maana tumeambiwa ili ujuwe hiko kienglish lazima uwe umesoma, hii nchi waliosoma na wenye akili ni CDM...
Pamoja na akili zao wanatawaliwa na CCM

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
 
Haya maendeleo tunajipima na nani?
Miaka ya 70 tulikuwa hatutofautiani sana kimaendeleo na nchi kama Korea Kusini, Malaysia!
Tundu Lissu is entitled to his opinion. Yaana ana haku ya kutoa mawazo yake. Nimeiisoma yote kikubwa anaponda hotuba ya Rais SSH kuwa imetaja maendeleo ya mabarabara, hospitali na mashule na magereza.

Mimi ni kati ya watu waliolaani sana kushambuliwa kwa Lissu na Kikundi cha Makonda kwa amri ya Magufuli. Nimeandika sana humu kuwa ulikuwa UNYAMA wa hali ya juu.

Lakini sikubaliani na Lissu kwa aliyoyaandika hapa. Lissu anahitaji tiba ya KISAIKOLOJIA baada ya kupata tiba ya majeraha ya risasi 16. Mtu anayetarajia kuomba kura za uRais hapaswi kubeza maendeleo tuliyoyapata kwa miaka 60.
 
Mimi naomba niwe mkweli tu,Tanzania will
never be safe and secure as long as we have the likes of Lissu,something drastic needs to be done.
Ignorance implies Poverty and Poverty implies Fear and Fear implies violence.
Therefore, ignorance, Poverty and Fear nurtures violent people.
 
Hehehe wabongo kizungu tunakipenda sema chenyewe hakitupendi tu..sijui tunatofautiana wap..mbona cha kwenye simu tumekielewa tu..
Misidi kolo..
Meseji...
Gugo..nk..
Tujifunze kizungu tuache uvivu
 
Hii ndio akili ya Ma-CCM!
Semeni lolote,lakini huu utabaki kuwa ukweli.Foreign governments are using Lissu and others like him to destabilize our country,and the sooner we realize this the better.
 
Back
Top Bottom