Tundu Lissu: An Independence Day Message to The People of Tanzania

Tundu Lissu is entitled to his opinion. Yaana ana haku ya kutoa mawazo yake. Nimeiisoma yote kikubwa anaponda hotuba ya Rais SSH kuwa imetaja maendeleo ya mabarabara, hospitali na mashule na magereza.

Kwanini wewe usiisifu hotuba hiyo ya SSH kwa kutumia vigezo vyako?

After all, mimi sijaona alipoiponda. Nilichosoma na kukielewa mimi ni Tundu Lissu kutofautiana na wengi juu ya dhana ya MAENDELEO NI NINI

Tundu Lissu anakubaliana na Hayati Mwl. J. K. Nyerere juu ya maana na dhana ya maendeleo kwa ujumla na kutofautiana na dhana waliyonayo kina SSH na watu Wa dizaini yako...

Sasa kuna kosa gani TL kutofautiana na wewe na huyo SSH wako..?

Leta hoja kumpinga. Usipige kelele tu..!!
Mimi ni kati ya watu waliolaani sana kushambuliwa kwa Lissu na Kikundi cha Makonda kwa amri ya Magufuli. Nimeandika sana humu kuwa ulikuwa UNYAMA wa hali ya juu.

SAWA, ulifanya vizuri... SO..?
Lakini sikubaliani na Lissu kwa aliyoyaandika hapa.

I tell you again. Don't make noise. Toa sababu HOJA kwa HOJA za kwanini hukubaliani naye....

Tumia hoja zake kupinga na weka hoja zako mbadala cha alichojadili mwenzako. Tutakusoma na kukuelewa.

Ulichofanya wewe ni kupiga makelele tu yasiyo na maana yoyote..!!
Lissu anahitaji tiba ya KISAIKOLOJIA baada ya kupata tiba ya majeraha ya risasi 16.
Really? Una shida upstairs, bila shaka..

I think, wewe usiye na jeraha lolote la risasi ndiye mgonjwa kabisa na ndiye unayehitaji msaada wa kisaikolojia. Umekosa hoja unakimbilia ku - attack personality ya mtu...!!

This is pure stupidity & ignorance..

I hate to say that. But that's exactly how you are...!!
Mtu anayetarajia kuomba kura za uRais hapaswi kubeza maendeleo tuliyoyapata kwa miaka 60.
Hapa ndipo ilipo HOJA...

Tueleze wewe, MAENDELEO NI NINI..?

Dhana ya "MAENDELEO" ya mwasisi wa taifa hili Hayati Mwl. J. K. Nyerere aliyoitumia Tundu Lissu kama msingi wa hoja yake, wewe unailewaje? Una la kusema?
 
Kwanini wewe usiisifu hotuba hiyo ya SSH kwa kutumia vigezo vyako?

After all, mimi sijaona alipoiponda. Nilichosoma na kukielewa mimi ni Tundu Lissu kutofautiana na wengi juu ya dhana ya MAENDELEO NI NINI

Tundu Lissu anakubaliana na Hayati Mwl. J. K. Nyerere juu ya maana na dhana ya maendeleo kwa ujumla na kutofautiana na dhana waliyonayo kina SSH na watu Wa dizaini yako...

Sasa kuna kosa gani TL kutofautiana na wewe na huyo SSH wako..?

Leta hoja kumpinga. Usipige kelele tu..!!

SAWA, ulifanya vizuri... SO..?

I tell you again. Don't make noise. Toa sababu HOJA kwa HOJA za kwanini hukubaliani naye....

Tumia hoja zake kupinga na weka hoja zako mbadala cha alichojadili mwenzako. Tutakusoma na kukuelewa.

Ulichofanya wewe ni kupiga makelele tu yasiyo na maana yoyote..!!

Really? Una shida upstairs, bila shaka..

I think, wewe usiye na jeraha lolote la risasi ndiye mgonjwa kabisa na ndiye unayehitaji msaada wa kisaikolojia. Umekosa hoja unakimbilia ku - attack personality ya mtu...!!

This is pure stupidity & ignorance..

I hate to say that. But that's exactly how you are...!!

Hapa ndipo ilipo HOJA...

Tueleze wewe, MAENDELEO NI NINI..?

Dhana ya "MAENDELEO" ya mwasisi wa taifa hili Hayati Mwl. J. K. Nyerere aliyoitumia Tundu Lissu kama msingi wa hoja yake, wewe unailewaje? Una la kusema?
Wagonjwa mko wengi. Sina muda wa kuendekea kutoa maana ya maendeleo. Ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa

Hata hao wazungu wanawashangaa mnapoponda maendeleo ya Tz kwa miaka 60. Wanawaona ni vituko tu.

Isitoshe Tundu Lissu akikwisha mponda J K Nyerere hapo zamani, kumtumia hapa kutafuta validity ya hoja zake za kijinga ni upumbavu mtupu
 
Back
Top Bottom