Tundu Lissu: An Independence Day Message to The People of Tanzania

Tundu Lissu: An Independence Day Message to The People of Tanzania

Watanzania wengi wanatumia na kuelewa kiswahili kuliko hiki alichoandika.....hii awaandikie mabwana zake wake wataelewa zaidi
Lengo lake ni kuwafurahisha zaidi Elton John/George Michael/boy George na wenzie.
Na sio kuwapa ujumbe watanzania walio wengi..
Hiyo ndy Siri ya kuandika ujumbe kwa kingereza bila kujali 95% ya watanzania hawajuwi kuongea na kuandika English kwa ufasaha..
 
Mwalimu Betrayed Uhuru!

Kwa maneno haya pia kanifanya nicheke sana:

"...Even the increase in jailhouse, remand prison and police stations counts as progress according to this paradigm "

My conclusion:

Tundu Lissu is to smart to live safely and peacefully in this country so he better ramains abroad for his safety.
He only needs to understand the "context" under which Mwalimu's actions were taken. Believe, Tundu Lissu is smart enough to know that context.
Once he acknowledges that, then he should realise too, that fighting what was being done at that time brings no merit to his own struggle and that of the party he represents.

He should direct the struggle to the current situation, that is where his speech has traction and relevance; not to the history of a different epoch.
 
Ignorance implies Poverty and Poverty implies Fear and Fear implies violence.
Therefore, ignorance, Poverty and Fear nurtures violent people.
I am not violent,I hate people who are potential violence makers.
 
Hana lolote huyo, mbwa kibogoyo hata akibweka hakuna atakayetishika. Yeye aendelee kuwafurahisha kina rob amster tu.
Mr #dishlimetilt
 
Semeni lolote,lakini huu utabaki kuwa ukweli.Foreign governments are using Lissu and others like him to destabilize our country,and the sooner we realize this the better.
Haya mawazo ya kijinga wako pelekea ukoo wako
 
Wewe na wenzako wasiojulikana.
Atajipiga risasi mwenyewe kwa tabia zake za hovyo.Lissu ni lazima afike mahali atambue mwisho wa mamlaka yake na akumbuke kwamba yeye ni Mtanzania kwanza.Western governments zina mdanganya,there is a limit to what they can realistically do.
 
Lengo lake ni kuwafurahisha zaidi Elton John/George Michael/boy George na wenzie.
Na sio kuwapa ujumbe watanzania walio wengi..
Hiyo ndy Siri ya kuandika ujumbe kwa kingereza bila kujali 95% ya watanzania hawajuwi kuongea na kuandika English kwa ufasaha..
Lengo lake ni kuwafurahisha zaidi Elton John/George Michael/boy George na wenzie.
Na sio kuwapa ujumbe watanzania walio wengi..
Hiyo ndy Siri ya kuandika ujumbe kwa kingereza bila kujali 95% ya watanzania hawajuwi kuongea na kuandika English kwa ufasaha..
EEeeeh Bhwanah, unawafahamu wote hao jamaaa. Mbona umemwacha Frddie Mercury!

Kama tulivyo binaadam wote, Tundu Lissu naye anao udhaifu wake. Hapa sijui alikuwa anamwandikia nani huu ujumbe! Anawaandikia wasomi wenzake, au waTanzania?
Hata wasomi wa siku hizi ni shaka sana kuelewa ujumbe anaouwasilisha. Hili ni tatizo kubwa kwa Lissu, hata kama yeye atadhani ni tatizo dogo.

Wakati huu kila fursa ya kuwafikishia ujumbe waTanzania ni jambo la muhimu sana linalotakiwa kufanywa kwa uangalifu mkubwa.

Ujumbe huu, pamoja na kutokuwa na njia ya kuwafikia wananchi kwa sababu ya lugha iliyotumika, njia hii inayotumika pia inajionyesha dhahiri kwamba Lissu na Chama chake wanajiweka mbali na wananchi.

Lakini la muhimu zaidi ni ujumbe uliomo kwenye andiko lenyewe. Mambo aliyozungumzia ni ya msingi sana kufuatana na hali iliyopo sasa hivi. Lakini cha kushangaza, yeye anaelekeza ujumbe wake kwenye historia, wakati wa Mwalimu Nyerere.

Nyakati hizi ni tofauti kabisa na nyakati zile. Kulikuwa na sababu kwa nini baadhi ya mambo ililazimu yafanyike kama yalivyofanyika kwa wakati ule, ambapo, kama yakifanyika wakati huu yataonekana kuwa ni tofauti sana.
Asisahau kwamba dunia nayo imekwishabadilika tokea nyakati za "vita Baridi" kwa pande mbili za Magharibi na Mashariki.

Hivi hakumbuki kwa mfano, kwamba Marekani walikuwa na utumwa na ubaguzi mbaya sana wa rangi enzi zile? Hata kama kubaguana hakujaisha ndani ya nchi hiyo, lakini angalao wamepiga hatua. Litakuwa ni jambo lisilokuwa na nguvu sana kwenda kuwaeleza wamarekani historia yao hiyo kwa wakati huu, kama njia ya kutaka kuboresha zaidi hali yao ya leo.

Kulalamikia mambo yaliyofanyika katika enzi tofauti na hizi inafanya kazi yake na chama chake kupata ugumu sana kueleweka mwelekeo wao ni upi.

Ajikite zaidi kwa haya yanayotokea wakati huu.
 
wanaojua kiingereza ndio walioenda shule, wanaojua kifrench, kihispanyola, kichina na kiswahili wenyewe hawakwenda shule..
Kimombo kitamu wewe!!! Yaani uongee kichina na wewe ujione mstaarabu!!!!? Unachekesha! Achana na kiingereza wewe
 
Tundu Lissu is entitled to his opinion. Yaana ana haku ya kutoa mawazo yake. Nimeiisoma yote kikubwa anaponda hotuba ya Rais SSH kuwa imetaja maendeleo ya mabarabara, hospitali na mashule na magereza.

Mimi ni kati ya watu waliolaani sana kushambuliwa kwa Lissu na Kikundi cha Makonda kwa amri ya Magufuli. Nimeandika sana humu kuwa ulikuwa UNYAMA wa hali ya juu.

Lakini sikubaliani na Lissu kwa aliyoyaandika hapa. Lissu anahitaji tiba ya KISAIKOLOJIA baada ya kupata tiba ya majeraha ya risasi 16. Mtu anayetarajia kuomba kura za uRais hapaswi kubeza maendeleo tuliyoyapata kwa miaka 60.
Hapana.
Hata wewe unapotosha.

Kama kweli umesoma na kuelewa alichoandika Lissu siyo hicho tu cha "kuponda spichi" unachokiandika hapa. Jambo la msingi zaidi alilozungumzia na 'UHURU', na maana yake kwa waTanzania.

Pili, inaonyesha wewe unamsimamo unaokinzana na anayoyasemea Lissu, kiasi cha kwamba umejitwisha utaalam kabisa wa kujuwa matatizo ya kisaikologia yanayomsumbua!
Sidhani kuwa unao utaalam huo na wala sidhani kwamba unayo haki ya kumhukumu juu ya maoni yake kama unavyofanya hapa.
 
Tatizo Lissu anaielewa historia ya Nchi kuliko hata wazee waliokuwepo kipindi hicho hilo wengi wa conservatives hawapendi!! Namfananisha na Yesu alipokuwa na Miaka 12 alikuwa anawafunulia wazee mambo ya miaka milion 3 nyuma wanabaki wanashangaa wanasema amepandwa na pepo!! Tunapokuja kwenye swala la historia na sheria lissu ni habari nyingine na hili waliokalia keki ya nchi hawapendi
 
Hana lolote huyo, mbwa kibogoyo hata akibweka hakuna atakayetishika. Yeye aendelee kuwafurahisha kina rob amster tu.
Mr #dishlimetilt
Mkuu unajua,Lissu sio "mbwa kibogoyo." Binafsi naamini somehow alishirikiana na mabeberu kum-eliminate Magufuli.He new so much about the circumstances and timing of Magufulis' death.So ni lazima tuwe makini naye.He is obviously being used by Western Governments to destabilize our country.
 
Mkuu unajua,Lissu sio "mbwa kibogoyo." Binafsi naamini somehow alishirikiana na mabeberu kum-eliminate Magufuli.He new so much about the circumstances and timing of Magufulis' death.So ni lazima tuwe Malini naye.He is obviously being used by Western Governments to destabilize our country.


I have noticed that you are a greatest conspiracy theoretist in this Jf .
 
Back
Top Bottom