Tundu Lissu ana ushawishi gani TLS, Mbona kila anayempendekeza anashinda?

Tundu Lissu ana ushawishi gani TLS, Mbona kila anayempendekeza anashinda?

Katika watu wa hovyo kutokea hapa Tanzania ni huyo jamaa.
Ni vile tu hujamuelewa vizuri, mfatilie vizuri utagundua kitu kuhusu yeye, mengine yeye ni binadamu.

Upinzani ni afya kwa Taifa, Mwalim Nyerere aliamua kuleta vyama vingi japo kura za maoni wananchi hawakuwa tayari, lakini aliangalia big picture kuwa tusipoingia kwenye mfumo ule tukasubiri tuwe tayari tunaweza kujikuta tuko tayari katika namna ambayo italeta madhara makubwa kwa Taifa
 
Mimi ni CCM ila Tundu Lissu ni moja ya watu smart sana, mzalendo hasa. Huyu sio raia tu wa kawaida atakuwa 'Mzalendo aliyepikwa'. Huyu ndiye aliye sacrifie maisha yake kwa ajili ya Watanzania. Ana miiko, maadili na misimamo.
Tundu Lissu ni smart? Kama kuna mtu wa Hovyo Mchi hii ni huyo.

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Baada ya Nyerere mzalendo wa kweli mwingine ni TL. Asikudanganye mtu.

Du kweli kua huyaone. Ndoa mngezitetea Hivi Basi Hakuna talaka hata ukikutaaaa live bin Vuuuu. Kwa Ufupi baba Mzandiki ( in SSH voice) Hakuna MZALENDO yeyote duniani anayeweza kuwa na sifa alizonazo Lissu. Kama wewe unaweza kumvumilia mkeo akutangaze kwa watu wasiohusika kuhusu Kibamia na unavyokoroma Usiku aka Mzee war bao moja,
 
Nasema Lisu ana karama ya pekee. Ni zawadi toka kwa Mungu, CHADEMA hiii tunu waitunze vema! Huyu ni Albert Einstein of our time in Tanzania and even the world, it is a matter of time! by the way, hivi Tundu Lisu ana akauunti JF?
anayo
 
Fatuma Karume, Lugemeleza Nshala na Sasa ni Dr Edward Hosea, hawa wote ni pendekezo lake, ama yeye ndiye aliwashawishi kugombea au aliwaunga mkono.

Huyu Mtu ana ushawishi gani ndani ya chama cha Wanasheria wa Tanganyika?
Just coincidence tu; siyo ushawishi ingawa TLS imeshindwa kuendelea kuwa professional organization tena bali sasa hivi ni political organization ya harakati. Hata ile tafsiri yao ya katiba ilikuwa siyo professional bali ilikuwa uanaharakai tu wa kutaka kumwondoa waziri mkuu wasiyemtaka wao.
 
Back
Top Bottom